Wakuu wa mikoa wapanguliwa

Leteni Press Release yote jamani. Ila tu utendaji huu ni questionable!!!
 
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya bado hajahamishwa???

Thubutu!
Nani atakula sahani moja na Mwakyembe?


Kwa mkoa wa iringa abdul-azizi ni rc wa tano tangu mwaka 2006. Miaka minne tu hiyo.[/QUOTE]

Personally I very concerned with this........! au huyu jama anataka kugeuza huko IR kichwa cha mwendawazimu, ambapo kila kilaza hujifunzia huko siasa + Ufisadi? Reshuffle za namna hii sidhani kama zina maslahi kwa mkoa huo na taifa kwa ujumla.....!

Ni kweli bro, pangua pangua za namna hii zinagharimu sana, yaani utadhani serikali haina vipaumbele.

BTW,
Naona nzi wa JF leo wamechelewa sana kutia timu mahali husika, vinginevyo tungekuwa na orodha ya wakulu hawa mapema sana.
 
Sintashangaa iwapo Kandoro watabadilishana na Mwinyimsa wa TBR -- maana huyo mwenyewe JK alimnyanyua kutoka U-DC wa Bukoba baada ya sakata la marehemu Dito. Ni swahiba wake.
 
Huu ni usanii mwingine, sioni mabadiliko yoyote ya maana. :(
 
Thubutu!
Nani atakula sahani moja na Mwakyembe?


Ni kweli bro, pangua pangua za namna hii zinagharimu sana, yaani utadhani serikali haina vipaumbele.

BTW,
Naona nzi wa JF leo wamechelewa sana kutia timu mahali husika, vinginevyo tungekuwa na orodha ya wakulu hawa mapema sana.

Kuna mapesa chungu nzima ya kusafirisha mizigo na familia za wahusika, kufanyiwa ukarabati kwa nyumba ambazo wanaenda kuhamia, gharama za mahotel kabla ya nyumba hizo kuwa tayari. Ukija kupiga hesabu mabilioni yataungua hapa. Bora tungekuwa na wakuu wa mikoa wanaopigiwa kura na wananchi katika kila mkoa badala ya kuteuliwa na Rais.
 
hebu niambieni, hata kama upanguaji huu ni gharama wala hauna maana, lengo la raisi katika upanguaji huu ni nini haswa? Kwa akili ya haraka haraka simuelewi kabisa Mr. JK! Anajipanga na kampeni, anataka kuboresha utendaji au uwajibakaji, amekosa cha kufanya, ama anaota ndoto za mchana!
 
Thubutu!
Nani atakula sahani moja na Mwakyembe?




Kuna mapesa chungu nzima ya kusafirisha mizigo na familia za wahusika, kufanyiwa ukarabati kwa nyumba ambazo wanaenda kuhamia, gharama za mahotel kabla ya nyumba hizo kuwa tayari. Ukija kupiga hesabu mabilioni yataungua hapa. Bora tungekuwa na wakuu wa mikoa wanaopigiwa kura na wananchi katika kila mkoa badala ya kuteuliwa na Rais.


Hii ni moja ya hoja ya msingi sana katika sera ya mfumo mpya wa utawala ya CHADEMA ambao wengi wanaifahamu kama "Sera ya Majimbo"- kufuta vyeo vya kuteuliwa vya wakuu wa wilaya na mikoa na kuwa na viongozi wa kuchaguliwa na wananchi

Asha
 
Maane, yule Mh Mbunge wako uliyetaka jiuwa kwa ajili yake hajatupiwa hata mkoa wa Manyara ama Rukwa?

Masanilo, sijapata full list ila kwa utendaji wake wa kazi hatakiwi kuwa mkuu wa mkoa. Anatakiwa awe jimboni kwake aliendeleze, atapataje muda wa kutosha kuhudumia wananchi waliompa kura?? Kwanza ni makosa makubwa sana kumteua mbunge kuwa mkuu wa mkoa au waziri. Hawa RC na Mawaziri wana kazi zao za ofisi ni muda gani wanao kutembelea majimbo yao na kufanya shughuli za maendeleo? (kuhamasisha)??

Kwa mantiki hiyo I love my mbunge to remain there, si umemuona majuzi akisheherekea ushindi wa kimataifa?? I love her courage!!! I admire her!! Sijui nitapata binti yangu atakayekuwa shupavu like this madam?? Of course, I have one ambaye huwa anampenda sana huyu mbunge na kazi zake and one day she told me "....I would like to be like this mama... and why mum is not like her??" assuming that every woman akusha kuwa na position ni lazima uende bungeni. Of course mama yake ana status so alitaka aone naye kuwa anakuwa miongoni mwa wabunge!!! Nilicheka sana siku hiyo. So you can imagine hata watoto wanaona huyu mbunge wangu ni shupavu, eh. Kudos my Mbunge.
 
"hebu niambieni, hata kama upanguaji huu ni gharama wala hauna maana, lengo la raisi katika upanguaji huu ni nini haswa? Kwa akili ya haraka haraka simuelewi kabisa Mr. JK! Anajipanga na kampeni, anataka kuboresha utendaji au uwajibakaji, amekosa cha kufanya, ama anaota ndoto za mchana!"

********************

Petu Hapa: Wanajipanga tu kwa ajili ya kunyakua nchi 2010, Wapinzani walie tu kwani hawana safu hizi za ma-DC na ma-RC.
 
Sijaona manufaa ya hiyo recycling of those RCs... Inaeleweka kuwa mkuu anajipanga kwa ajili ya 2010 anachokosea ni kutumia pesa za walipa kodi vibaya. Hapo yatahitajika mamilioni kabla ya hao RCs hawaja 'seto'!
 
Abaa Nkwere hana mpya anaendeleza kucheza draft anataka kumla kingi wa 2010 :D
 
We need majimbo!

What uchungu Swahiba wa Kikweli anateuliwa RC kule Kigoma??

RCs na DCs we need to scrap such posts
 
I don't think we need majibo or mikoam- lolote kwangu ni sawa tu. Ila tunahitaji hawa viongozi wachaguliwe na watu, wawekilishe watu na sio raisi! Raisi asihamishe hamishe watu tu kwa manufaa yake ama ya chama, ila ya wananchi husika!
 
Hivi raisi anapohamisha wakuu wa wilaya ama mikoa anatumia vigezo gani!
 
Last edited:
Hi raisi anapohamisha wakuu wa wilaya ama mikoa anatumia vigezo gani!

Taarifa zilizopo ni kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Msekela anabadilishana na Kandoro anahamia Mwanza
Maajabu JK anapanga List ya uchaguzi 2010

Habari ndio hiyo
 
Hivi huyu mtu yupo serious na kazi yake au anafanya mchezo piku nikupiku. Hizi si kodi za walala hoi kuna wabunge,wakuu wa mikoa, wakuu wa wilaya, wenyeviti wa kila idara kweli Tanzania tupo serious na maisha au tunabaki kushangaa tu wakati wenzetu wanazidi kwenda mbele. uchaguzi unakaribia watu wanapata homa hii yote ni kutaka kuweka mitego ya kumnasa paka balada ya panya. kuna watu tunawasikia wakuu wa hiki mara kila kile tangu tunazaliwa tuna watoto karibu na wajukuu kwani tanzania hakuna watenda kazi bora ni hao tu na mvi zao bado kuzidi kutuendesha kama gari moshi. Mheshimiwa rais tumechoka tumechoka na michezo yako ya kuigiza. Unaona nini kinaendelea Thailand na kwingineko watu wakifika mahali wamechoka basi kitaeleweka. wazazi wetu wanakosa kufaidi matunda ya uhuru kazi kuwakandamiza tu kila kukicha na kuwabeba viongozi wabovu kama hao unaowahamisha mara huku mara kule ili mradi.
 
Inawezekanaje Mbunge wa Songea (or wherever) kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro? Are the two compatible? I think, it's a high time wananchi wa mikoa husika kuanza kuwakataa viongozi [wakuu wa mikoa/wilaya kama si rais] ambao tunadhani hawatatusaidia. Nimedokezwa kuwa miaka ya nyuma Kilimanjaro walikuwa na utamaduni huo. Mkuu wa Mkoa/Wilaya ambaye hakubaliki anapigwa vita mpaka anakataa kazi mwenyewe.
 
Ok! let assume kwamba anajipanga vizuri na huo uchaguzi! Bado mimi naimani huyu jamaa kunawakati hajui anachokifanya, ili nielewe akili yake ni tofauti nachofikiria, nipeni ufafanuzi wa kina kwa walio hamishwa na faida watazoleta kuhakikisha JK anashinda tena! Kwanini wahamishiwe mkoa b na sio c?
 
Back
Top Bottom