bahati93
JF-Expert Member
- Aug 6, 2015
- 1,566
- 2,966
Corona sio flue it's respiratory diseaseFlue ni ugonjwa wa kawaida huko kwao na kila mwaka hurekodi deaths elfu kumi na mbili na huwa tiba yake hupatikana kila baada ya miezi mitatu, ingawa watu wenye uwezo wa kuipata hiyo tiba ni asilimia hamsini tu ya waathirika.
Ubaya wa hii korona ni kuwa inamadhara makubwa sana kwa watu wenye hali maalum mfano umri, matatizo mengine ya kiafya. Huo ndio upekee wa korona, ila swala la mafua huko na madhara yake sio geni.