STRUGGLE MAN
JF-Expert Member
- May 31, 2018
- 8,633
- 16,601
Mkuu hao kina Tramp ni mafreemanson, kazi yaobkupunguza idadi ya watu ili mambo yao yaende sawa, usishangae kakataa kuweka hivyo ili idadi ya vifo iengezeke watimize lengo lao
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo Trump kakataa kuweka NY mji unaoongoza kwa COVID19 cases on lockdown.
Kuna mambo yamesimama USA ila sio kama inavyotangazwa, kuna newsoutlet zinataka kuchukua ushindi kupitia hili janga.
Sent using Jamii Forums mobile app