Wakuu US leo wamefika 104,000

Wakuu US leo wamefika 104,000

Flue ni ugonjwa wa kawaida huko kwao na kila mwaka hurekodi deaths elfu kumi na mbili na huwa tiba yake hupatikana kila baada ya miezi mitatu, ingawa watu wenye uwezo wa kuipata hiyo tiba ni asilimia hamsini tu ya waathirika.

Ubaya wa hii korona ni kuwa inamadhara makubwa sana kwa watu wenye hali maalum mfano umri, matatizo mengine ya kiafya. Huo ndio upekee wa korona, ila swala la mafua huko na madhara yake sio geni.
 
Habari mpya leo tarehe 28/03/2020 zinasema US maambukizi yamefikia 104,708 kutoka elfu 83 ya jana . Zaidi la ongezeko la watu elfu 20.
Tuwaombee wakina Nyani Ngabu USA baby
ndo muda wa kuzamia huu kwa gia ya volunteer ...tupeane mbinu jamani..
 
Habari mpya leo tarehe 28/03/2020 zinasema US maambukizi yamefikia 104,708 kutoka elfu 83 ya jana . Zaidi la ongezeko la watu elfu 20.
Tuwaombee wakina Nyani Ngabu USA baby
watanzania waliopo USA wana hali gani ?
 
Mbona na ubalozi wao Hapa Tz ndio umewaambia waende kwao US
imekaaje hii Aisee [emoji23][emoji23]
 
Flue ni ugonjwa wa kawaida huko kwao na kila mwaka hurekodi deaths elfu kumi na mbili na huwa tiba yake hupatikana kila baada ya miezi mitatu, ingawa watu wenye uwezo wa kuipata hiyo tiba ni asilimia hamsini tu ya waathirika.

Ubaya wa hii korona ni kuwa inamadhara makubwa sana kwa watu wenye hali maalum mfano umri, matatizo mengine ya kiafya. Huo ndio upekee wa korona, ila swala la mafua huko na madhara yake sio geni.
Ila madaktari wao, serikali yao, wansayansi wao, wanauchumi wao, raia wao..,, wanasema hawajawahi kuexpirience haya maradhi. They take it extremely serious than your comment!
 
Kiki hizo baada ya kushindwa mchezo na wachina
 
Back
Top Bottom