Za kuambiwa changanya na za kwako...Asante mkuu... YESU anakuja!!!
Umejuaje tuko siku za mwisho ?Wakuu...
Tuko katika siku za mwisho, kila mtu ni vyema atengeneze vyema mambo yake na MUNGU...
Nawatakia
Happy DAY!!!
Ccc... Yoda Kiranga Infropreneur Matunzo 02 Seran secretarybird and all Great Thinkers!!!
Vitabu vipi ?Kupitia kusoma vitabu mkuu!!!
Kuna vitabu vitakatifu?Vitakatifu!
Hakuna siku ya mwisho.Wakuu...
Tuko katika siku za mwisho, kila mtu ni vyema atengeneze vyema mambo yake na MUNGU...
Nawatakia
Happy DAY!!!
Ccc... Yoda Kiranga Infropreneur Matunzo 02 Seran secretarybird and all Great Thinkers!!!