Wakuu tutubu na kuiamini injili

Wakuu tutubu na kuiamini injili

Usimdharau Mungu kwa maneno ya kiburi. Mathayo 12:36 inasema kila neno lisilo na maana watu watalipa siku ya hukumu. Dhambi haikuwahi kuwa suluhisho, na kudhihaki watumishi wa Mungu si ushindi bali ni ushahidi wa mtu aliyepotea njia. Uvuguvugu si dini bali hali ya moyo. Yesu yupo hai, na bado anaokoa. Badilika kabla hukujuta.
👌🏽👌🏽👌🏽
 
Wakuu...
Tuko katika siku za mwisho, kila mtu ni vyema atengeneze vyema mambo yake na MUNGU...

Nawatakia
Happy DAY!!!
Ccc... Yoda Kiranga Infropreneur Matunzo 02 Seran secretarybird and all Great Thinkers!!!
Yamkini unaenda kanisani vizuri kabisa ila matendo yako pengine si yale unayofundishwa kuyatenda unapokuwa kanisani.

Tukikuuliza unatujibu tufate maeneo yako na si matendo yako. Hapo ndio huwa naona hizi dini zenu ni upigaji tu. Kwamba Wewe huogopi kutenda maovu ili utupwe ziwa la moto!!!??
 
Uko sawa mkuu... hakuna aliye mkamirifu na ndio maana tunaokolewa kwa NEEMA ya YESU
 
Back
Top Bottom