Wakuu tupeni pole jamani


thanks kwa wazo lako zuri ila nafikiri ww ni mgeni na serikali ya tz ingekuwa ni fisadi ndio kalipukiwa bac angelipwa bila kudai
 
mkuu drphone ...umetuletea sredi ya sympathy halafu umeingia uchovu ukaenda kupiga usingizi .. du kweli mabomu kiboko

hapana mkuu 2popamoja nilitoka ofcn now nipo msibani kwa jirani yangu alolipukiwa na bomu ndani
 

thanks mkuu nikweli ni uzembe wa hali ya juu
 
Tunamshukuru mungu kwa kukuokoa na mauti wewe na familia yako, najua ni neema tu ya Mungu!
 
Pole kaka,Tushukru Mungu umetoka salama wewe na familia yako,na tuzidi kuwaombea walioumia na kuathirika zaidi na tatizo hilo!
 
Pole Mkuu!

Usisahau kutoa sadaka ya Shukrani kwa Mungu.
 
ALLAH ndo muweza,ila msamehe mwana jf anaepajua kwako
thanks nimeshamsamehe coz tunaitaji kusamehe na kusamehewa na ktk wote ww ndio umemwombea msamaha i accept it mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…