Mwl.RCT
Platinum Member
- Apr 5, 2009
- 15,683
- 22,548
Ushauri | Kwa kuzingatia kuwa hapa JF unawasisliana na watu tofauti, au watu tofauti wanasoma ulichoa andika, Na baadhi yao ni waajiri,mtu atakaye ni connect na mchongo .
Na japo umesema hutaki ushauri, ila nakushauri jitahidi kutumia lugha inayojieleza kuwa wewe tayari ni matured hivyo inakuwa rahisi kwa mwajiri au mtu mwenye kazi kuwasiliana nawewe moja kwa moja, ila lugha ya kihuni au ya mtaani haijengi kwa muktadha huu wa kusaidiwa kupata kazi. Tumia kiswahili fasaha au kingereza fasaha itakujenge zaidi na kuleta matokeo chanya.
- Mchongo
- Connection
Samahani kwa kukupa ushauri ambao umesema wazi hutaki kupokea , Yangu ni hayo tu.