Wakuu sitaki ushauri , naitaji connection

Mechincal tenchician au Engineer niwatu wako sokoni sana tembelea mkuranga pale wiki moja viwandani uwezi kukosa kazi nenda kiwanda cha BBQ or Expert consultancy kipo kisemvule pia pita pepsi hutajuta sana mtembea bure sio kama mkaa bure
Sawa mkuu.
 
Kama bango linavyo jieleza wakuu.

Nimeshachukua ma ushauri kibao nimeyafanyia kazi lakini wapi,utasikia CV yako andika hivi , nenda kwenye kampuni X kapeleke CV , nakutumia tangazo la kazi u apply, zote zinagonga mwamba

Inauma sana umetoka zako asubuhi unaenda kwenye ofisi kupeleka CV alafu inaishia kwa mlinzi

Ombi langu ni moja wakuu kwa unyenyekevu naombeni connection ya kazi /kujitolea sehemu yeyote dar es salaam au mkoani . Fani yangu MECHANICAL ENGINEER nipo Dar

Karibu PM ipo wazi wakuu

Asanteni ,muwe na usiku mwema .
Mkuu pole sana Mungu akusaidie uvuke salama na mchogo uupate hapa!

Jamani wenye kazi tufanye kazi na tuzilinde na tumuombe Mungu azilinde unapomuona mtu hadi ana andika hivi hiki ni kipindi kigumu kwake anapitia hii isikie kwa mwenzio tuu…. Hii hali sio nzuri hii ni hali ya kukata tamaa!

Jamani mtaani pagumu hasa kama una akili timamu una malengo hakika unaweza kufikia hali zaidi ya huyu….msichezee kazi huyu mtu ana wakilisha watu wengi wanaoteseka mtaani na wana taaluma zao ….Muda mwingine elimu haifanyi lolote unahitaji watu wakushike mkono..na wanakosekana kabisa i can feel this pain ……

Jamani mwenye connection ampe mshikaji apate kwa kujishikiza!

Mungu akutangulie
 
Kwa maisha ya sasa kujiongeza lazima. Ukifocus na kaz tuuu upate kazzzzz tu.. Yani kazi tuuuu.... Umeumia!
Hao watu makazini wenyewe tu tunatafuta pa kukimbilia Yani sio poa! Bora yeye kuliko mm mana Nina age ya 25 now na Nina watoto wawili mapacha. Kazi mshahara lak 4 sio poa
 
Hvi kuna ubaya mtu kuajiriwa akiwa na 25 years!?
Maan wengin ukiwatajia age hiyo wanakwambia bado sana ww pambana bdo chalii , hv kweli et Street difficult zinaleta utafutaji wa ages kweli?
Hapana mkuu hakuna ubaya, ni jamii zetu tu zimeset standards kwenye baadhi ya mambo. Sema ukipata mchongo wa kueleweka kwenye 20s, 30s, 40s au vyovyote vile, Just do your best.
 
Sawa kijana, naona sio riziki yako kwa leo, umepishana na Tsh. 50,000/= ya kitanzania niliyotaka nikutumie ikusaidie kwenye hustles zako za kutafuta kazi maana hata na mie nimewahi saidiwa hapahapa JF na mtu nisiyemfahamu.

So, I was trying kulipa fadhila via same style.

Kwa kuwa umekataa, let me keep it safe for the right person someday
Hukuwa na nia yakumsaidia kijana..Ungemuendea huko alikoomba PM mukamalizana kimnyakimnya
 
Mkuu pole sana Mungu akusaidie uvuke salama na mchogo uupate hapa!

Jamani wenye kazi tufanye kazi na tuzilinde na tumuombe Mungu azilinde unapomuona mtu hadi ana andika hivi hiki ni kipindi kigumu kwake anapitia hii isikie kwa mwenzio tuu…. Hii hali sio nzuri hii ni hali ya kukata tamaa!

Jamani mtaani pagumu hasa kama una akili timamu una malengo hakika unaweza kufikia hali zaidi ya huyu….msichezee kazi huyu mtu ana wakilisha watu wengi wanaoteseka mtaani na wana taaluma zao ….Muda mwingine elimu haifanyi lolote unahitaji watu wakushike mkono..na wanakosekana kabisa i can feel this pain ……

Jamani mwenye connection ampe mshikaji apate kwa kujishikiza!

Mungu akutangulie
Asante sana mkuu na kunitia moyo , mungu akubariki pia.
 
Ile issue ya EACOP ulifatilia.

Nimeona vijana wengi wanapambania hiyo eemh katest zali huko.
 
Sawa kijana, naona sio riziki yako kwa leo, umepishana na Tsh. 50,000/= ya kitanzania niliyotaka nikutumie ikusaidie kwenye hustles zako za kutafuta kazi maana hata na mie nimewahi saidiwa hapahapa JF na mtu nisiyemfahamu.

So, I was trying kulipa fadhila via same style.

Kwa kuwa umekataa, let me keep it safe for the right person someday
Mkuuu nimeku pm hiyo 50,0000 nisaidie Mimi

Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
 
Mimi nahitaji kazi yeyote hata ya 200,000 kwasasa nipe connection.

Anyway kukosa bando kunafanya usiwe online muda mwingi hata connection unazopata unachelewa kujibu PM mtu anakuona hauko serious aise kama kuna mtu anifadhiri 50,000 niwe na muscles ya ku-stay online na kusambaza CV kama jamaa hapo juu nitaahukuru
 
Sawa kijana, naona sio riziki yako kwa leo, umepishana na Tsh. 50,000/= ya kitanzania niliyotaka nikutumie ikusaidie kwenye hustles zako za kutafuta kazi maana hata na mie nimewahi saidiwa hapahapa JF na mtu nisiyemfahamu.

So, I was trying kulipa fadhila via same style.

Kwa kuwa umekataa, let me keep it safe for the right person someday
😅😅😅🚮🚮🚮 Kujikuta una maisha....anaesaidia angeenda PM acha kujifanya una ubinadamu uongo mtupu lengo lako ni kibri na kuonesha ulivyo maamuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom