BWANA WANGU
JF-Expert Member
- Jul 10, 2018
- 365
- 850
Kama bango linavyo jieleza wakuu.
Nimeshachukua ma ushauri kibao nimeyafanyia kazi lakini wapi,utasikia CV yako andika hivi , nenda kwenye kampuni X kapeleke CV , nakutumia tangazo la kazi u apply, zote zinagonga mwamba
Inauma sana umetoka zako asubuhi unaenda kwenye ofisi kupeleka CV alafu inaishia kwa mlinzi
Ombi langu ni moja wakuu kwa unyenyekevu naombeni connection ya kazi /kujitolea sehemu yeyote dar es salaam au mkoani . Fani yangu MECHANICAL ENGINEER nipo Dar
Karibu PM ipo wazi wakuu
Asanteni ,muwe na usiku mwema .

Asante mkuu , mimi naomba connection wakuu.