Nimeipenda hii mkuu , hakika umenena nitayafanyia kazi.Connection ni kuitengeneza mwenyewe Mkuu niamini mimi, unaweza kuconnectiwa na wadau msiendane pia.
Mimi natoa ushauri tu, badili mfumo wa maisha na ikiwezekana hama mkoa kabisa, ila hama kimkakati yaani utakapoenda kuwe na unachokifuata.
Ibuka kwenye events kam marathon, festivals na mambo kama hayo ukuwa na lengo la kujihusisha na wadau.
Hata kwenye ma garage wewe ibuka huko utakutana ba watu wa mazingura yako Mkuu. Jichanganye tu hayo maeneo ukuwa smart utaonekana tu Mkuu.
Zaidi ya yote kuwa humble sana Mkuu.
DuhStaki kukuvunja moyo ila kwaiyo fani yako mechanical kupata connection ngumu sana
Ila muombe sana Mungu milango itafunguka
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Sawa sawa mkuu.Staki kukuvunja moyo ila kwaiyo fani yako mechanical kupata connection ngumu sana
Ila muombe sana Mungu milango itafunguka
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
I feel your Pm nowSawa kijana, naona sio riziki yako kwa leo, umepishana na Tsh. 50,000/= ya kitanzania niliyotaka nikutumie ikusaidie kwenye hustles zako za kutafuta kazi maana hata na mie nimewahi saidiwa hapahapa JF na mtu nisiyemfahamu.
So, I was trying kulipa fadhila via same style.
Kwa kuwa umekataa, let me keep it safe for the right person someday![]()
Usicheke, namaanisha...
Unataka connection ya kitu gani mkuu, funguka hapa watu waone.Usicheke, namaanisha...
Natafuta kazi yeyote, nimesoma Records Management Diploma...Unataka connection ya kitu gani mkuu, funguka hapa watu waone.
Sawa mkuu , Nikipata connection yako nitakuchek PM.Natafuta kazi yeyote, nimesoma Records Management Diploma...
Nipo Dar hata mkoani naenda...
Ninauzoefu wa social media, nilishafanyakazi kama content manager
Taniboy sioNjoo tusafiri wote kwenye Lori.
Kila tunaporudi Dar hukosi rizki kama ukijiongeza naweza kukuruhusu gunia mbili tatu za kiazi.
Mm jmn nahtaj Mahali pakukaa ndugu zangu mnisaidieWeka namba yako ya Simu PM nikuchangie japo nauli ya kusambazia CV
Nipe mimi nikanunue dawa maumwa malaria dawa 10,000tsh,na matunda na maji utanisaidia sanaSawa kijana, naona sio riziki yako kwa leo, umepishana na Tsh. 50,000/= ya kitanzania niliyotaka nikutumie ikusaidie kwenye hustles zako za kutafuta kazi maana hata na mie nimewahi saidiwa hapahapa JF na mtu nisiyemfahamu.
So, I was trying kulipa fadhila via same style.
Kwa kuwa umekataa, let me keep it safe for the right person someday![]()
Mtumie plz!!!Sawa kijana, naona sio riziki yako kwa leo, umepishana na Tsh. 50,000/= ya kitanzania niliyotaka nikutumie ikusaidie kwenye hustles zako za kutafuta kazi maana hata na mie nimewahi saidiwa hapahapa JF na mtu nisiyemfahamu.
So, I was trying kulipa fadhila via same style.
Kwa kuwa umekataa, let me keep it safe for the right person someday![]()
Njoo PMNipe mimi nikanunue dawa maumwa malaria dawa 10,000tsh,na matunda na maji utanisaidia sana
Nakuja bosy sasa hiviNjoo PM
Kaka sio makasiriko , ni maumivu makali.Sasa mbona kama una makasiriko kaka mkubwa,?