Bd agronomist fununu wanasema before date 3.Soulja boy, Mkuu kwani batch ya 3 tayari?
Sawa mkuuBd agronomist fununu wanasema before date 3.
Ashukuru ana kitu cha kujishikza sehemu ajarb kufkiria fom 6 akikosa atakwa mtaan tu.Bora wewe hata ukikosa una diploma unaweza ukapata kazi. Wenzio waliotoka form 6 hawana profession yoyote, watabaki kuzurura mitaani. Endelea kusubiri labda utafanikiwa batch zijazo.
Never give up kaka angu,maana Mungu hamtupi mja wake one day yes keep it up.Nilijitahidi sana Diploma nikapata ka GPA kangu kidogo kazuri. Ila wazazi wakulima wa kubangaiza sana. Sasa ndoto ni kuwa daktari lakini huwezi kuamini nimekosa mkopo.
Sasa sina namna na nilichaguliwa MD UDOM. Mimi narudi nyumbani nikalime tu.
Mkuu bado hujafungua tu chuo hapo udsm,Never give up kaka angu,maana Mungu hamtupi mja wake one day yes keep it up.