Wakuu nna biashara nyingine nauza

Wakuu nna biashara nyingine nauza

Labiance21

Member
Joined
Jul 15, 2025
Posts
60
Reaction score
71
Habari za Jumamosi Wakuu,nna biashara wakubwa zangu nauza,biashara hizo ni pamoja na (1)Samick 12 Channel Mixing Console
Model no SM-1200p hii naitakia 500,000.
(2)Jebson SD 1 Table top Mixer hii naitakia 400,000.
(3)Lenovo Mini Laptop,Battery iko poa sana 2hr,hii naitakia 200,000.Naambatanisha na picha wakuu
20250726_201235.jpg
20250726_201105.jpg
20250726_200852.jpg
20250726_200705.jpg
20250726_200617.jpg
20250726_200026.jpg
20250726_200014.jpg
20250726_195939.jpg
20250726_195915.jpg
20250726_195653.jpg
 
Back
Top Bottom