professional ethics
Senior Member
- Dec 24, 2023
- 108
- 350
Mbona tunatishana chief 😂😂😂Utasema tu ulichokua unakitafuta
Kituo Cha afya Tayar nimesha ends ILa Leo nilikuwa najirithisha tuUmeuza mechi mkuu. Nenda kituo cha afya upime kabisa, acha kujipa matumaini na hicho kidude
Yaani kipimio kisafi hakina hata tone la damu kweli?Mbona tunatishana chief 😂😂😂
naye ndugu yetu atakuwa amekwisha nyakuliwaParapanda italia parapanda 🎶🎶🎶
Mavumbini tutarudi😂😂😂😂😂Sisi ni mavumbi...
😆😆Mavumbini tutarudi😂😂😂😂😂