Natafuta kazi yoyote halili Dodoma

Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Umri wangu ni miaka 31,jinsia me..natafuta kazi yoyote halali hapa dodoma.
Elimu yangu ni kidato cha sita ila pia nina uzoefu basic wa computer.
na wadhamini kama watahitajika wapo.
Natanguliza shukrani.
MODS naomba mnisaidie ku edit heading
Nenda mji wa serikali pale mtumba Kuna fursa za kutosha kwenye site za ujenzi...ukifika getini unawaambia walinzi kua wew kibarua unaruhusiwa kuingia kupiga kazi hukosi 10k kwa siku
 
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Umri wangu ni miaka 31,jinsia me..natafuta kazi yoyote halali hapa dodoma.
Elimu yangu ni kidato cha sita ila pia nina uzoefu basic wa computer.
na wadhamini kama watahitajika wapo.
Natanguliza shukrani.
MODS naomba mnisaidie ku edit heading
Utakua tayari kufanya kazi ya bodaboda kwa mkataba?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom