Wakuu nimepoteza direction ya elimu yangu...

Wakuu nimepoteza direction ya elimu yangu...

Ukijua unataka nini hili swala ni dogo sana haliitaj ushauri, jua unataka nini kwanza sio baba anataka usome nini au Mama anataka usome nini au wanajamii wanashaur usome nini.
Hilo ni fumbo ukifumbua jibu unalo mwenyewe humu utapata majibu mengi yatakayo kuchanganya akili.
Ni mtazamo tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu nimekuwa nachanganyikiwa kila kitu nimeona nakihitaji kufanya....
 
Habari wakuu...

Mwaka 2015 nilibahatika kumaliza form four shule moja mkoani....matokeo yangu yakawakama ifuatavyo phy-C chem-C bios-C math-D geo-C hist-C civics-C kiswahili-C english-C...

Baada sikufanikiwa kupata selection za shule ila nilibahatika kwenda shule ya private mchepuo wa PCB sio siri matokeo yangu yote hayajawahi kuwa vizuri hata na hivyo nikawasilisha wazazi lengo la kutaka kurudia form five ila sio kwa mchepuo wa PCB bali HGE...

Familia ilinishauri niapply course za afya vyuo vya serikali kama nikipata nafasi niende kusoma na kama sitachaguliwa ninaweza kurudia form five kwa mchepuo wa HGE ili kama nikifanikiwa kupata one kali nisome Agrobusines,land valuation,IT

Wakuu...kama watalaamu wa elimu naombeni mnipe ushauri sielewi chochote juu ya maisha ya elimu kwa sasa naona kama nimepoteza my direction ya elimu sioni MWAGA KWA MUDA KIDOGO...
Achana na masuala ya Elimu
Na ubadilishe username yako ya kujiita pure scientific wakati ni
Kilaza
 
Aisee angalia sana mwisho wa siku utamaliza degree na 30+ afu huna cha kufanya mjini hapo ndo utajua elimu haijawah muacha mtu salama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bora ungeenda chuo mkuu, matokeo yako hayo kwa level ya diploma upande wa engineering unapata kozi yeyote ile utakayoipenda, pia afya utapata ingawa sina utaalamu na hiyo fani

Sent using Jamii Forums mobile app
 
aba6d3161adb5fd8e1fbaa810937b4a4.jpg

Dogo tulia kitaa piga biashara giza la elimu likipata nuru utasoma mbele kwa mbele.
 
Wala hujapoteza direction, ni bora uende chuo kuliko kurudia tena form 5
 
Acha kupoteza muda na gharama. Nenda chuo acha cheti (certificate), diploma then degree. Wapo wengi waliopitia njia hii na sasa wako mbali
 
Back
Top Bottom