Sam Wellson
Member
- Jun 1, 2022
- 65
- 224
Wakuu nahitaji assistance ya mtu aliepo Nacte ili anisaidie hii isssue yangu ya AVN, Kibaruani nipo busy sana nimeshidwa kupata muda wa Kwenda ofisi za Nacte, Nahitaji Connection za hapo Nacte.
Mimi nimuelewa and i will do the needful.
Asanteni.
Nimehaingaika sana na issue ya AVN mpaka dirisha la kwanza limenipita
Mimi nimuelewa and i will do the needful.
Asanteni.
Nimehaingaika sana na issue ya AVN mpaka dirisha la kwanza limenipita