"Wakuu Nataka niende Tanzania nipe Sifa ya Hiyo na Jinsi ya Kuishi"

please Nawataka watanzania tu ndiyo wanipe ushauri na maoni nyinyi wakenya vipi tena
 
Mikoani mvua inanyesha Dar hainyeshi hadi mtakapomaliza kujenga Daraja la Coco
  • Hotel - angalia googe
  • Amani - Ili uwe na amani inabidi uwe muoga.
  • Hali ya hewa - kwa sasa jua ni kali ila tunatarajia mvua zitaanza soon
  • Uhuru wa kutembea - unaweza kutembea popote ila wakijua wewe ni mgeni utapigwa kabali hata na mama muuza vitumbua ama na polisi wenye njaa kali kuliko mamba.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nasikiaga wkny wana kielehele sana hata mount kilimani wanasema wao sasa siwataki mimi nawataka watanzania tu
 
ingia google ata kutuchosha,tuwaze majibu yamaisha tufikirie na kukujibu ww?
embu tuonee huruma kidgo


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Habari watanzania !!


Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24 naishi Norway now ila napenda sana kutali nimefika nchi nyingi tu kama Egypt mali na tunisia. Nikiwa mdogo sana nilikuwa na wazazi wangu katika safari zote hizo. Mimi nina asili kidogo ta tanzania

♠Hotel zinakuwaje yani bei?
♠Amani yake ipo vipi ?
♠Hali ya hewa yani jua sio kali sana kama Nigeria
♥Uhuru wa kutembea

Naombeni msaada please

cityzen chairman am here
naona unanyonya pipi. Njoo huku utanyonya mshedede. Au ndo nyie wafuasi wa lisu mnaanza kuingia kwa staili hiyo mkileta mapenzi ya jinsia moko? Watanzania hatujaribiwagi.
 
Haya basi tufanye uko Norway,Ingia Google kila kitu kipo pale,kuhusu nchi yoyote including Tanzania..
 
Back
Top Bottom