mizy gajo
JF-Expert Member
- Jul 30, 2016
- 801
- 887
Ata kama umekonda pesa itasitiri madhaifu yako.
kwa unavyofikiri gym ndakuwa nalipia mawe au?
kwa unavyofikiri gym ndakuwa nalipia mawe au?
Unataka hadi dawa za nini?wakuu msaada wenu nataka nianze gym ila mwili wangu ni mwembamba saana nataka nijae kama brown. nahitaji supplment nzuri ya bei rahisi au dawa zozote nazoweza kutumia. naombeni msaada kwa wataalamu wanaojua haya mambo.