Wakuu naombeni ushauri wenu

Wakuu naombeni ushauri wenu

ndio mwanamke wako wa kwanza?? Au ndio mara yako ya kwanza kuachana mkuu?

Kuachana ni kigumu ikiwa tu hujataka muachane na hujakubali hali ya kua umeachwa au mmeachana ukikubali hilo tatizo ushalitibu.
Sawa acha nijaribu kukubali, japo sio mara ya kwanza
 
Eti sms za maex(akili kumkichwa)

Mwache hasira zipoe kwanza, then mtafute tena mzungumze. This time kuwa mwanaume, mweleze ukweli kuhusu tabia zake zinazokukera. Akibadilika shukuru, asipobadilika basi ujue ndio madhaifu yake utakayopaswa kuyavumilia.

Mkuu nshajaribu sana kuzungumza nae hii ni wiki ya tatu kila nnapompigia simu akipokea anasema hataki mawasiliano nami.
 
.
Pole sana mkuu kwa mastress
Apo anakupima imani yako kam ww uta react aje maana anajishaua wakat bado anakupenda

Asante mkuu ila sijajua kama bado ananipenda maana kaniblock kila kona nikipiga na namba ngeni akipokea ananifokea 'sikutakiii' hii wiki ya tatu nimemchunia lakini kimya.
 
Umemuambia ukweli mchungu, hapo alikuwa anamtafutia tu sababu!!

Angekuwa anampenda kweli hilo siyo kosa la kumnunia 3 weeks, watu wanafumania and after few days anasamehe na game anatoa kama kawaida!!

Mkaka, kubali hupendwi and next time usiyakurupukie mapenzi hivyo, wenzio tunaenda kwa mwendo wa kunyata!!

Asante sana kwa kunipa ukweli mchungu japo itakuwa ngumu kidogo kuzoea
 
Kwa mateso hayo hapo bado hauja muoa, sasa siku ukimuoa sindio ndani patakuwa kama jela..!!
Mkuu, minaona huyo dada ni muathirika wa mapenzi, na umeingia kwenye mahusiano na mtu ambae amekuwa akijeruhiwa sana kwenye mahusiano.
Sasa kwakifupi ni kwamba piga chini huyo mwanamke kwasababu bila ya kufanya hivyo ipo siku hautoipata tena nafasi ya kuomba ushauri kama hivi, na utakuwa tayari umechelewa.

Asante sana japo kihistoria yeye alinihadithia kuwa hakuwahi kuachwa ila yeye ndo aliwaacha wanaume kama wanne hivi.
 
Pole mkuu. Ushauri wangu achana nae kwamda huu ila kabla yakuachana nae muandikie sms ndefu jieleze hali halisi, mueleze hisia zako kwake, mueleze nini malengo yako kwake. Ukishafanya hivyo relax muachie mwenyewe aamue nausimtafute tena naikibidi muage mwambie huna jinsi nauamuzi aliochukua. Naamini ukipiga kimya kabisa mwisho wasiku atakutafuta mwenyewe

Asante sana. Ntajaribu kuachana nae japo itakuwa ngumu kidogo kwa sasa. Kwa kuwa siwezi hata kumtext kaniblock mpaka nitumie namba ya mtu.
 
Wewe hauko tayari kwa ushauri unapewa hutaki kupokea umeshikilia nampenda endelea nae akupige matukio ili akili yako ikae Sawa.
Kwa kweli ushauri wote ambao watu wananipa nazingatia dada angu, ila tu najaribu kusema hivo ili pia nipewe ushauri zaidi ila nathamini sana jinsi watu wanavonishauri
 
Mwanamke amekuwa na mahusiano na wanaume zaidi ya wanne na anajitapa kawaacha wotee yeye hajawah kuachwa

Mbona logic simple tu angekua anajitambua ningekupa ushauri wa kujenga ilaa apoo bomoaa tu kabla maumivu zaidi hayajakujia ..
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom