Wakuu naombeni ushauri kuhusu huyu mwanake

wakuu mimi nina girlfriend ambaye ni mwanafunzi wa chuo flani ,huyu mwanamke mara nyingi amekua akinidai nimpatie matunzo kama vile pesa,simu, pesa ya kusukia na mahitaji mengine lakini vyote hivyo kwa uwezo wangu mimi nashindwa ukizingatia kwamba mimi ni bado mwanafunzi na sijaingia rasmi kwenye utafutaji, naombeni msaada wakuu nifanyeje?? nimjibuje?? pia ni sawa kumpatia hata kwa kiwango kidogo?? ni haki yake au ni uamuzi wangu kwakua bado sijamuoa??
Mkimbie haraka.hana maana.ashakufanya buzi.anakuchuna tu.
 
wakuu mimi nina girlfriend ambaye ni mwanafunzi wa chuo flani ,huyu mwanamke mara nyingi amekua akinidai nimpatie matunzo kama vile pesa,simu, pesa ya kusukia na mahitaji mengine lakini vyote hivyo kwa uwezo wangu mimi nashindwa ukizingatia kwamba mimi ni bado mwanafunzi na sijaingia rasmi kwenye utafutaji, naombeni msaada wakuu nifanyeje?? nimjibuje?? pia ni sawa kumpatia hata kwa kiwango kidogo?? ni haki yake au ni uamuzi wangu kwakua bado sijamuoa??
achana na wanachuo
 
Piga kisela tu mkuu,,, wasichana wa chuo hawaridhiki,,hata uwape nn,, kama HAIPO nae umeumia,, afadhali labda awe anaishi kwao na anakwenda chuo na kurudi home kwao na mnaonana kila siku na Sio awe HOSTEL,,, kila utakachotoa mwenzio haridhiki,,, tena unajiminya unamsaidia mwenzio anagongwa buree,,, Tena unazompa wewe anakula DUME lenzio chuoni,,,, kuanzia chakula,, kodi unayotuma anaishi na mwanachuo mwenzie,, kwnz wna mashindano ya kila kitu kuanzia kusuka kila week mitindo mbali mbali,,, nguo ale vizuri nk,,, hutoweza mkuu,,,
 
katika mahusiano kuna material things na non-material.. kwa busara ya kawaida, kwa level ya uanafunzi inatakiwa mu enjoy zaidi non-material.. mapenzi zaidi! na chachu ndogo ndogo within affordable range yako na yeye + vijizawadi, viji dinner cafeteria one pale 3,000 mnashiba kabisa.. bila kupoteza lengo la msingi ambalo ni shule. ata ukubwani wanataka vi spacio vyekundu.. sa sijui ukiendekeza mahusiano ya kuhonga utafika kweli..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom