Kitondo
Member
- Jul 10, 2019
- 62
- 145
Natumia Exim Bank Pre paid Card, kwa kazi hasa ya kuhamisha pesa (top up )kutoka bank kwenda account yangu ya Scrkll ili nitume nje in USD. Lakini cha ajabu katika hatua ya mwisho tu pale kwenye kutuma naambiwa transaction failled.There has been an error in proccessing your request.
Cha ajabu ni kuwa hata Visa card ya Barclays ilikuwa hivo hivo nikaona niende Cim na wakaniambia nkitumia Pre paid account haitasumbua chochote. Jamani nisaidieni mambo hayaendi kabisa wakuu.
.
Cha ajabu ni kuwa hata Visa card ya Barclays ilikuwa hivo hivo nikaona niende Cim na wakaniambia nkitumia Pre paid account haitasumbua chochote. Jamani nisaidieni mambo hayaendi kabisa wakuu.
.