Akipiga pokea halafu weka simu chini..hawezi kulia kwa saa 24
ahsantePole sana. Hatua ya kwanza akipiga kata usipokee simu yenye private no. Ukikata akarudia kupiga disconnect wireless kwa muda kisha baada ya muda activate tena wireless, sikilizia. Fanya hivyo uone kama huyo mtu atakata tamaa. Kama ataendelea basi huna budi kutoa ripoti polisi kama ulivyoshauriwa.
hivyo ndio nilivyofanya leo nimepokea halafu nimenyamaza kimya akaanza kulia halafu alipoona nimenyamaza siongei nae kaanza kanyamaza kidogo halafu kaendelea nikaanza kumtukana kaliaa nikakaaa kimya halafu kakataAkipiga pokea halafu weka simu chini..hawezi kulia kwa saa 24
hivyo ndio nilivyofanya leo nimepokea halafu nimenyamaza kimya akaanza kulia halafu alipoona nimenyamaza siongei nae kaanza kanyamaza kidogo halafu kaendelea nikaanza kumtukana kaliaa nikakaaa kimya halafu kakata
kuna mawasiliano ya pande 2 au ni pande moja tu? yani ushawah kumuuliza kitu akajibu au ye akipiga analia tu hakuskilizi unachoongea
yaani mkuu huyo jamaa anapiga nikipokea tu nasikia kilio tena kilio cha huzuni kabisa hata ile aloo hasemi kupokea tu ni kilio toka aanze kunifanyia sasa hii ni wiki hakuna chochote anachoongea zaidi ya kilio
kwa hilo sijalichunguuza ila ninaponyamaza kimya nae hua ana nyamaza kidogo na kukohoa vikohozi vya majonziujue sku hz kuna computer bot ambazo zinasetiwa automatic we huoni hareply kitu ye analia tu. nahisi itakua ni sauti imerikodiwa akipiga anaiplay.
hivyo ndio nilivyofanya siku ya mwanzo kabisa ila siku ya mwanzo kabisa ndio siku alonipata kweli alipopiga nikapokea kilio kikaanza nikapigwa na mshtuko nikamwiita aloo aloo haongei analia tu hapo ilikua niko na shemegi yenu huwezi kuamini wakuu nilisahau kila kitu [mzee mzima] sekunde 5 nyingi alilala bila kujua mara tu machozi yakaanza kunitoka nikalia kilio cha nguvu wife pamoja na familly ninayoishi nayo hapa wakaanza kunisubirisha kwa kujua labda kweli nimefikwa na msibadawa ya moto ni moto, akilia na ww lia.
hivyo ndio nilivyofanya leo nimepokea halafu nimenyamaza kimya akaanza kulia halafu alipoona nimenyamaza siongei nae kaanza kanyamaza kidogo halafu kaendelea nikaanza kumtukana kaliaa nikakaaa kimya halafu kakata
Kama ni hivyo siyo computer.kwa hilo sijalichunguuza ila ninaponyamaza kimya nae hua ana nyamaza kidogo na kukohoa vikohozi vya majonzi
nime install call blocker katika simu yangu na nimeweka tiki katika private call number toka jana usiku nashukuru hajapiga ahsante mkuu jua kali ila ndio nimeblock all private number hata kama sio yeye ikiwa ni private number haingii .Jaribu kuinstall Root Call Blocker Pro.