Dalali wa Mjini
JF-Expert Member
- Oct 5, 2024
- 1,119
- 1,618
- Thread starter
- #21
Kitambo saanaSasa umewekewa ugali mezani chezea bahati baada ya siku 2 unakuja tena kutuwekea bango, hapo ni wewe na goli tu kipa katoka sasa toa boko
Kitambo saanaSasa umewekewa ugali mezani chezea bahati baada ya siku 2 unakuja tena kutuwekea bango, hapo ni wewe na goli tu kipa katoka sasa toa boko
Niko nanjilinjiMafaza wa ughaibuni mnazingua saana😂
😁😆Ningekupa kazi ila isivyobahati sina gari, Mimi ninatumia fisi na punda kwa usafiri.
Naamini wenye magari watakusaidia.