Kazi ya udereva

Kazi ya udereva

alcacer

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2021
Posts
249
Reaction score
226
Habari za muda huu wajomba! Naitwa Fareed age 26 Nimekuja Mdogo wenu Nàomba Kazi ya Udereva,

Elimu: Form Four Najua pia kutumia Computer&English Language
Driving Licence ✅
Cheti (VETA) ✅
National ID ✅
Naendesha Gari ndogo zote(D) Automatic&Manual

kwa sasa Nipo Dar es salaam Nna Familia bado nipo Benchii Ukinipa deal Ntakushukuru,Ganji Uwakika.

📞 0738340948
 
Subscribe Uzi wa SERAN Na Uweke Kambi Hapo, i hope Kabla Mwaka Haujaisha Utakuwa Ushapata kazi. ila Usisahau Kutafuna Karafuu Na Kuweka Chumvi ya Mawe Kwenye Viatu Ukienda kwenye interview.

All the Best.
 
Sawa kaka ntazingatia 'uzi wa SERAN' bado sijaelewa hapo na subscribe wap
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom