Wakuu nahitaji kwenda Afrika Kusini kufanya kazi yoyote,ushauri wenu tafadhari

hustler009

Member
May 27, 2019
5
5
Maisha popote wakuu nimeamua kujilipua huko ingawa kuna mauaji yanayoendelea kwa wageni,mimi kama mwanaume siwezi ogopa kutake risk yoyote ili mradi hela ipatikane kwa njia yoyote ile.

Nimechoka na haya maisha ya bongo jua kali hela hamna huku kazi nafanya kwa nguvu zote ila mafanikio dhidi ya juhudi zangu siyaoni ,hivyo kwa yeyote anayeweza kunipa mchongo wa kufanya nje ya tz hasa kwa madiba basi aje tuyajenge pm nko tayari kufanya kazi yoyote ile,natanguliza shukrani
 
Achana na sauzi huko siku izi kugumu mambo yalikuwa zamani wabongo wapo huko wana miaka zaidi ya mitano hakuna jipya wamebahatika kununua nguo nzuri tu kuvaa.. Na ongea ukweli nawasiliana nao wengi hawasemi ukweli kiufupi huko nako Kuna probability unaweza fanikiwa kupata kazi nzuri kidogo au unaweza kuishia kuuza pipi tu..
 
Jitie ulaya au arabuni pesa zipo hasa Oman kozi lugha ni kishwahili & Arabic hautopata tabu
 
Maisha popote wakuu nimeamua kujilipua huko ingawa kuna mauaji yanayoendelea kwa wageni,
ni kweli maisha popote lakini sio kwa kukurupuka bila kusoma alama za nyakati
mimi kama mwanaume siwezi ogopa kutake risk yoyote ili mradi hela ipatikane kwa njia yoyote ile.
kuna kutake risk na ujinga chuja vizuri hapo either unafanya ujinga au umetake risk kama unavyodai
Nimechoka na haya maisha ya bongo jua kali hela hamna huku kazi nafanya kwa nguvu zote ila mafanikio dhidi ya juhudi zangu siyaoni
sijui nani kakuambia SA jua haliwaki, hizo ni dalili za kukata tamaa
hivyo kwa yeyote anayeweza kunipa mchongo wa kufanya nje ya tz hasa kwa madiba basi aje tuyajenge pm
pathetic
nko tayari kufanya kazi yoyote ile,natanguliza shukrani
mfano akitokea hapa hapa wa bongo upo tayari?
 
ni kweli maisha popote lakini sio kwa kukurupuka bila kusoma alama za nyakatikuna kutake risk na ujinga chuja vizuri hapo either unafanya ujinga au umetake risk kama unavyodaisijui nani kakuambia SA jua haliwaki, hizo ni dalili za kukata tamaapatheticmfano akitokea hapa hapa wa bongo upo tayari?
Mkuu nko tayari kufanya kazi yoyote hata kama ni bongo cha muhim Bela ipatikane tu
 
Jitie ulaya au arabuni pesa zipo hasa Oman kozi lugha ni kishwahili & Arabic hautopata tabu
Mkuu asante kwa ushauri,labda kwa huko uarabun kwa mimi nisiye na elimu haiwez kuwa shida kupata kazi ya kuniingizia kipato kizuri?
 
nenda kazamie huko SA,maisha ya beach boy pale Durban ni bora kuliko ya mwalimu mwenye first degree anayefundisha shule ya kata hapa LIngusenguse,elewa kwa kila 1ZAR unapata 150 ths.
 
Mku kama ni kweli nakushari usiende South kwani zamani mambo yalikuwa mazuri japokuwa Mimi nilikaa huko miaka 1994 mpaka 2000 kulikuwa kuzuri sana kwa biashara za Matunda na kupigisha simu nje ya South.
Nikushauri kwa anayetafuta maisha nenda Msumbiji au Namibia ili Msumbiji ndio mahali pazuri pa kutafuta maisha
Maisha popote wakuu nimeamua kujilipua huko ingawa kuna mauaji yanayoendelea kwa wageni,mimi kama mwanaume siwezi ogopa kutake risk yoyote ili mradi hela ipatikane kwa njia yoyote ile.Nimechoka na haya maisha ya bongo jua kali hela hamna huku kazi nafanya kwa nguvu zote ila mafanikio dhidi ya juhudi zangu siyaoni ,hivyo kwa yeyote anayeweza kunipa mchongo wa kufanya nje ya tz hasa kwa madiba basi aje tuyajenge pm nko tayari kufanya kazi yoyote ile,natanguliza shukrani
 
Mku south kwa kazi ya mchomoko kupiga simu za underground na mchomoko kwa sasa ni hatari sana kule
 
Maisha popote wakuu nimeamua kujilipua huko ingawa kuna mauaji yanayoendelea kwa wageni,mimi kama mwanaume siwezi ogopa kutake risk yoyote ili mradi hela ipatikane kwa njia yoyote ile.Nimechoka na haya maisha ya bongo jua kali hela hamna huku kazi nafanya kwa nguvu zote ila mafanikio dhidi ya juhudi zangu siyaoni ,hivyo kwa yeyote anayeweza kunipa mchongo wa kufanya nje ya tz hasa kwa madiba basi aje tuyajenge pm nko tayari kufanya kazi yoyote ile,natanguliza shukrani
Una tako kubwa?
 
Kama umejifunza ujuzi wowote beba na vyeti vyako pia. Una nafasi kubwa ya kupata ajira kuliko adieu na ujuzi kabisa.

Ujuzi kama
Plumbing mechanics, driving, house keeping and hotel management , car wash ect
 
Back
Top Bottom