Wakuu na shida na aina hii ya gadget

Wakuu na shida na aina hii ya gadget

maishapopote

JF-Expert Member
Joined
May 28, 2009
Posts
3,502
Reaction score
6,414
Wakuu nina sonny hometheater sasa haina option ya bluetooth sasa nikaenda mahali nikakuta bluetooth device aina flani nimeitafuta sana kama kuna mtu anajua precisely ni wapi pa kuipata pls

20211010_144139.jpg
 
Sawa
Ngoja Waje Ila Unataka Kufanya Modification Kwenye Sony
 
Back
Top Bottom