ThibitishaNgoja nishibe kwanza
Sawa kaka just challenge tu sina la maana nimetaka niku noel tu ukae sawa ila usimkimbie pliz kipind mnalombana mlikua pamoja pambana mkuuAcha polojo maisha siyo simple kihivyo
Thibitisha
🙏Sawa kaka just challenge tu sina la maana nimetaka niku noel tu ukae sawa ila usimkimbie pliz kipind mnalombana mlikua pamoja pambana mkuu
Kachunge mikia tu mwanetu
Aise acha roho ya msumali basiKachunge mikia tu mwanetu
Kupanga ni kuchaguaAise acha roho ya msumali basi
Nilikwama tu ibilisi siyo mtu mzuri kabisaKupanga ni kuchagua
Pole sana mdogo’etu! Kwani shemeji yako secretarybird anasemaje?Nilikwama tu ibilisi siyo mtu mzuri kabisa
Kwanza unahakika kuwa hiyo mimba umeitia wewe. Hili ni la kwanza kufahamu.
Naangalia tu! 😎Pole sana mdogo’etu! Kwani shemeji yako secretarybird anasemaje?
Mshauri dogo atafia kweny lipaja la mshangaziNaangalia tu! 😎
Usiku akiwekewa mkono puani kwa bahati mbaya lazima afe maana hawezi kuusogeza.Mshauri dogo atafia kweny lipaja la mshangaziView attachment 3709262
Basi tutachagua kama tunazika au tunasafirisha!Usiku akiwekewa mkono puani kwa bahati mbaya lazima afe maana hawezi kuusogeza.
Ningependelea kuzika. Hakuna pesa za kumsafirisha mtu aliyejitakia kifo.Basi tutachagua kama tunazika au tunasafirisha!