Mjusi Sharobalo
JF-Expert Member
- Sep 4, 2025
- 8,371
- 14,734
- Thread starter
-
- #61
Ukweli ni huo mkuu huoni hapa kati nilipotrlea mazima hadi kunavilaza wapya hawanijui humu kabisaSitaki kuamini, nataka kujua.
Yaundiwe sheria kali kama msumeno dadeki. Ukitelekeza toto lako unaswekwa rumande kwa muda usaidie taifa kwa namna nyingine.Haya mafala ndio yanazidisha watoto maskini duniani.
Yanazalisha kama panya.
Halafu kulea hayataki.
Sasa tutajuaje umepotea kweli na hujakuwapo hapa kwa ID yako nyingine tu?Ukweli ni huo mkuu huoni hapa kati nilipotrlea mazima hadi kunavilaza wapya hawanijui humu kabisa
Hapa kuna jambo aisee umenena madini hapaEbu muulize kwanini alikuambia akipata mimba linaweza kuwa janga.
Maana baada ya yeye kupata mimba ndo mambo yakawa kweli majanga...naona kuna kitu spiritual kwa huyo mwanamke ongeq naye
Thibitisha.Sina ID mbili mbili kama manzi yangu ni 1 tu
Ulichokisema unauhakika nacho nikuapite location?We jamaa unashida gani na mimi, unataka nikupige mashine?
We vip hayo masaiti we unayoWEWE NI MWANAUME MVIVU MADAITI YA UJENZI KIBAO UMESHINDWA KWENDA KUTAFYTA KAZI ILI UMHUDUMIE MKEO JINGA SNA TENA UNGE KUA KATIBU NINGE KUOKOTEA KIBOKO CHA MPERA PUUZI SANA, UKIMKIMBIA AKAFA HUONI NI HATARISHI KOMAA NAE SUBIRI AJIFUNGUE WALAU AKAE MWAKA MMOJA MKIMBIE SASA ILA KWA SASA HAPANA NI KOSA KUBWA, WE NI MUUAAJI
TrueUlichokisema unauhakika nacho nikuapite location?
Tutakesha hapa sasaThibitisha.
Yes if it is.out of nitamlomba hadi tobo la sikio….aseme tu.True
Nikutaftie mimi tena? Haya mkimbie sasa kuna kitu nimekigundua kwako, unataka uombe helaaaaa, kumbeeeeWe vip hayo masaiti we unayo
Umelogwa nin au umevulugwaYes if it is.out of nitamlomba hadi tobo la sikio….aseme tu.
Acha polojo maisha siyo simple kihivyoNikutaftie mimi tena? Haya mkimbie sasa kuna kitu nimekigundua kwako, unataka uombe helaaaaa, kumbeeee
Huku mchana mkuu usikonde.Tutakesha hapa sasa
Ngoja nishibe kwanzaHuku mchana mkuu usikonde.
Thibitisha tu.