BumbleBeeBot
JF-Expert Member
- Jun 9, 2015
- 555
- 950
kama unahitaji mfumo wowote; wa shule, biashara , ofisi, Kusimamia duka, studio, basi nipigie hapa 0620224372 au whatsapp.We kimbia mzee nenda zako u boyzn ukachunge mikia.
Halafu mtoto hajawahi kumsahau baba yake atakutafuta tu akishajipata, watoto wana huruma sana na baba zao.
Na kumbuka single maza haolewi na akiolewa hakikisha unajua kaburi halisi la baba wa mtoto.
Na ni marufuku kuhudumia mtoto wa single mama!! na ukihudumia fanya kama unalea yatima.
We kibenten Kafanye hiyo kazi yake au na yeye kafkuzwa ?Wakuu salamu....
Moja kwa moja ndani ya mada wakuu.
Kuna mdafa alinipenda sana na mimi nilimpenda, mimi nilizoea kumuita mshangazi sababu kanizidi kama miaka 5 hivi.
Alikuwa na kazi yake na mimi kazi yangu, wakati huo tunaanza dhambi zetu alisisitiza sana kupata mimba huenda likawa janga ila mimi nilimwambia hizo ni baraka mazee.
Sasa kama mwezi wa saba hivi hapo nyuma akaipata kweli kazi akashindwa kufanya kabisa maana ilikuwa ni mimba kisirani inataka kulala tu. sijui ndo nini yaani na mimi mwenyewe gafla boss kawa kapuku kiufupi kapoteza mali zote.
Sasa hapo mzigo mzima ukatua kwangu, gafla wakuu nimepoteza ramani na sina dira mazima hadi nashindwa kuelewa. Hapa nawaza nimtoloke tu huyu mshangazi nisepe zangu ubushini nikachunge tu mikia wakuu.
Mnanishauri nini hapa.
SEran ndio huo mshangazi wenye kisirani ?
Alikuwa anamzuga mshangazi ili arndelee kupewa k...ma bila kujua mwenzake yupo seriousUnasema eti "Hizo ni baraka mazeee!!"
Halafu Sasa unataka kukimbia!
Ulikuwa hujui kwamba watoto ni gharama?
Wewe inastahili utandikwe makofi ya kelbu hadi akili ikukae sawa.
Yatapigwe fimbo za mgongoni nyumbu hawaHaya mafala ndio yanazidisha watoto maskini duniani.
Yanazalisha kama panya.
Halafu kulea hayataki.
Wanazingua sana.Yatapigwe fimbo za mgongoni nyumbu hawa
Mkuu nitatoboa kweliKukimbia tatizo si kumaliza tatizo bali ni kuliongeza. Pambana jamaa yangu!
Mkuu upo sawa kiupende ni malufuko kapuku kuzalisha kapuku mwingine ila zingatia nilikuwa sawa kiuchumi pindi hizoUnasema eti "Hizo ni baraka mazeee!!"
Halafu Sasa unataka kukimbia!
Ulikuwa hujui kwamba watoto ni gharama?
Wewe inastahili utandikwe makofi ya kelbu hadi akili ikukae sawa.
Siyo shangazi yangu ni mshangaziMwanaume pambana ulipoa amua kumla huyo shangazi yako ulipaswa kutambua kuna mapito kama haya
Aideee mkuuMkuu pole sana,
Tubu na kumwamini YESU uache uzinzi, halafu pambana uvune ulichopanda..... na sio kukimbia.
Setan aliniputiyaaaaMzee wewe si ulimuambia hizo ni baraka mbona unakimbia baraka mzee baba
Unajua saa nyingine sisi wanaume ndiyo chanzo cha matatizo
Komaa na matatizo yako uliyoanzisha
Hapana mkuu huyo ni dem wangu wa mwanza me nipo dar nowSEran ndio huo mshangazi wenye kisirani ?
π Hii nimecheka πHapa nawaza nimtoloke tu huyu mshangazi nisepe zangu ubushini nikachunge tu mikia wakuu.
Aaa mkuu moto umekua siyo poaπ Hii nimecheka π
Wenzako wanakimbilia baraka, ww unazikimbia π