Wakuu msaada tafadhali juu ya taa za kufunga ndani

Wakuu msaada tafadhali juu ya taa za kufunga ndani

Troll JF

Platinum Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
10,065
Reaction score
14,701
Kuna taa flani hivi ndogo na zinakua zimefungwa nyingi nimekua nikiziona kwenye malls/supermarkets nyingi na hotel zina kama mwanga wa jua hivi na hata ukisogelea ule mwanga unachoma hivi sasa nauliza hizi taa ni bei gani?

Je zinatumia umeme wa TANESCO huu

Naomba kujuzwa pia samahani kwani sijizijui jina hizi ila zimenivutia kuzifunga ndani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom