Wakuu Msaada kwenye tuta | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wakuu Msaada kwenye tuta

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Magezi, May 3, 2010.

 1. M

  Magezi JF-Expert Member

  #1
  May 3, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,787
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Naomba kwa yeyote aliyetumia gari aina ya Nissan Terano anishauri kama ni nzuri ama la.

  Asante
   
 2. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #2
  May 3, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,297
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 160
  Ni nzuri ndio
   
 3. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #3
  May 3, 2010
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,895
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Tatizo spea zake ghali sana mkuu.
  ukiacha swala la gharama za spea, ni nzuri tu.
   
 4. M

  Magezi JF-Expert Member

  #4
  May 3, 2010
  Joined: Oct 26, 2008
  Messages: 2,787
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 145
  Asante kwa angalizo japo nalipenda muonekano wake sijui nikimbilie wapi
   
Loading...