Wakuu msaada ( kuangalia CLOUDS TV ) online

katuni

Senior Member
Dec 8, 2012
151
225
wakuu habari zenu. Hapa nina simu yangu ya NOKIA E72. Ninaangalia YOUTUBE bila shida tena bila kuscrach. Sasa shida ni kwamba nikitaka kuangalia CLOUDS TV online kwa kupitia hi simu naona inanigomea. Ila kuna jamaa yangu anatumia TECHNO yeye akiingia anaangalia vizuri tu ila tatizo inakuwa inacratch kwakuwa simu yake ni 2G. Sasa mimi hii yangu NOKIA E72 internet yake ni 3.5G lakini inanigomea. Nikiifungua Real player inafunguka, arafu inaload arafu inaniambia '' Unable to play either sound or video clip. TRY TO PLAY PARTIALLY ''


mwenye kuweza kunisaidia naomba anisaidie jamani.

Natanguliza shukrani.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom