Nataka kupiga simu Clouds TV, nimseme Bamdogo wetu, huku nyumbani haambiliki

mbere

JF-Expert Member
Mar 5, 2015
6,967
6,462
Wakuu hapa kwetu baba mdogo amefanya maisha ya familia yawe magumu sana,
- haturuhusiwi kusafiri
- hela katubania wanae
- ada anatoa kwa shida tena adi tuandamane
- kaka na dada wa kazi wanaishi kwa taabu
Nyumbani hakuna hela baba MDOGO hashauriki kuhusu kila kitu kang'ang'ania tu kuangalia clouds TV na kupiga huko simu sijui anapata wapi hela za vocha na muda wa kupiga simu kwa TV
Wakuu Nina mengi kuhusu bamdogo ila uku Tupo ndugu wengi, mtawasikia
Mtayasikia matatizo ya ba mdogo
Napiga simu nilalamikie mule na nimtaje mnasemaje wakuu???
 
nakushauri; kabla ya kuwapigia Clouds, Hebu jaribu kuongea nae mara ya mwisho huyo unaemwita ba'mdogo wako.. (maana nshakuona kuna kitu unakitafuta )
Nipo nasubiri FeedBack yako.. mkuu
 
nakushauri; kabla ya kuwapigia Clouds, Hebu jaribu kuongea nae mara ya mwisho huyo unaemwita ba'mdogo wako.. (maana nshakuona kuna kitu unakitafuta )
Nipo nasubiri FeedBack yako.. mkuu
Ni kweli mkuu kuna kitu nakitafuta
Maisha magumu mno nyumbani alafu ye anagawagawa tu hela tu
Juzi juzi kaahidi mahela kibaao mahali, nikajua bamdogo kumbe hatuko pamooojaaaaaa!!!!!!!!!
Sii mwenzetu
 
leo hii clouds imekuwa mahakama, polis,hakimu au jaji?
Hapana anapenda sana kuisikiliza na kupiga huko simu , labda atasikia huko shida zetu maana hali ni tete babangu, mhh mahakamani tena mkuu, mmh hapelekeki bamdogo wetu ni mbaaabe alafu anajuana nao wotee
 
Wakuu hapa kwetu baba mdogo amefanya maisha ya familia yawe magumu sana,
- haturuhusiwi kusafiri
- hela katubania wanae
- ada anatoa kwa shida tena adi tuandamane
- kaka na dada wa kazi wanaishi kwa taabu
Nyumbani hakuna hela baba MDOGO hashauriki kuhusu kila kitu kang'ang'ania tu kuangalia clouds TV na kupiga huko simu sijui anapata wapi hela za vocha na muda wa kupiga simu kwa TV
Wakuu Nina mengi kuhusu bamdogo ila uku Tupo ndugu wengi, mtawasikia
Mtayasikia matatizo ya ba mdogo
Napiga simu nilalamikie mule na nimtaje mnasemaje wakuu???
Kwani baba mdgo na mjomba nani afadhari???
 
Bamdogo aliruka stage, wazee wenzake wanaangalia TBC sa hz ye anakomaa na clouds ya vijana, ndo maana analea familia kisingeli
Alafu uwa ananesanesa mziki ukipigwa ata alitaka kwenda fiesta akazuiwa na jamaa flani
 
Attachments

  • 1483105476361.jpg
    1483105476361.jpg
    24.8 KB · Views: 35

Similar Discussions

Back
Top Bottom