Wakuu msaada hawa kikuu vipi

Baba Rhobi

Member
Nov 4, 2020
78
95
Je, kipindi unaweka order uliangalia feedback wa wateja? Au uliagiza tu bila kuona feedback zozote?Jaribu KuOngea na seller wako umuulize.
seller hajibu chochote, customer service wananipiga mpira tu yani af pia feedback ya wanunua ni nzuri yan,
 
Baba Rhobi

Member
Nov 4, 2020
78
95
Broo tulia kwanza nikutoe wasiwasi mzigo wako utaupata pili kumbuka vifaa vya mlipuko kwa kikuu huwa vinachelewa sana

Mwisho: Simu nunua Aliexpress hata kudai refund ni simple ila huko kikuu jiandae
ngoja niendelee kuomba MUNGU TU make yahitaji moyo kwa kweli.
 
vannistelrooy

JF-Expert Member
Jan 31, 2017
205
500
Sometimes mzigo unachelewa unaweza pita mwezi..mimi niliagiza mara mbili zikaja ndani ya week 3 ila round ya tatu simu ulichukua zaid ya mwezi ila ikafika

Ilifika betri bovu nikalalamika nikarudishiwa pesa..nikaagiza tena nipo nasubiria hapa..kwahiyo tuliza ball
 
vannistelrooy

JF-Expert Member
Jan 31, 2017
205
500
Broo tulia kwanza nikutoe wasiwasi mzigo wako utaupata pili kumbuka vifaa vya mlipuko kwa kikuu huwa vinachelewa sana

Mwisho: Simu nunua Aliexpress hata kudai refund ni simple ila huko kikuu jiandae
Hawa ali express malipo yakoje,,kikuu ni rahisi unalipia mpesa au tigo pesa na mzigo ukifika hakuna kusumbuana wanakuletea hadi home
 
Baba Rhobi

Member
Nov 4, 2020
78
95
Sometimes mzigo unachelewa unaweza pita mwezi..mimi niliagiza mara mbili zikaja ndani ya week 3 ila round ya tatu simu ulichukua zaid ya mwezi ila ikafika

Ilifika betri bovu nikalalamika nikarudishiwa pesa..nikaagiza tena nipo nasubiria hapa..kwahiyo tuliza ball
bro yan saiv siku ya 32 mzigo uko warehouse nkiuliza majibu uko kwenye final inspection ka vile ni bangi.
 
vannistelrooy

JF-Expert Member
Jan 31, 2017
205
500
bro yan saiv siku ya 32 mzigo uko warehouse nkiuliza majibu uko kwenye final inspection ka vile ni bangi.
Visheria vimeanza kuwa vingi vingi sasa hivi ila kama umefika bongo mzigo utaupata, kuwa mvumilivu tu,,we check ile status ya mzigi ulipo
 
Baba Rhobi

Member
Nov 4, 2020
78
95
Niliagiza external disc Kikuu Jan.6 nimeipokea Jan.21.
pumbavu hao jamaa nliwatest kwa kuagiza flash ikafika ndani ya wiki 2, nlivo agiza mzigo wa hela nyingi wameanza janja zao. Tangu 21 mwezi wa 12 had leo bado mzigo uko guangzhou warehouse huo si utapeli kbs.
 
vannistelrooy

JF-Expert Member
Jan 31, 2017
205
500
pumbavu hao jamaa nliwatest kwa kuagiza flash ikafika ndani ya wiki 2, nlivo agiza mzigo wa hela nyingi wameanza janja zao. Tangu 21 mwezi wa 12 had leo bado mzigo uko guangzhou warehouse huo si utapeli kbs.
Hii inatokea sana yaan hapo mzigonwako una mwezi na siku tatu,,endelea kusubiria ukitoka tu hapo Warehouse ndani ya siku 5 ushaupata
 
vannistelrooy

JF-Expert Member
Jan 31, 2017
205
500
hapo ni kuomba MUNGU aweke mkono wake vinginevyo kuna harufu ya kupigwa naiona
Trust me hupigwi, mzigo utafika tu..huu ni mzigo wangu nishaupokea tayari ila chek hapo warehouse ulivyokaa mda mrefu..na hapo ndo panapochelewesha
20210124_223309.jpg
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Similar Discussions

Top Bottom