Baba Rhobi
JF-Expert Member
- Nov 4, 2020
- 1,326
- 2,239
- Thread starter
- #41
dama, mkuu shida sio seller ni wao kikuu wenyewe.Nipe jina la seller
dama, mkuu shida sio seller ni wao kikuu wenyewe.Nipe jina la seller
Mkuu mzigo wangu walikadiria tarehe 21-24 february lakini naona ntaudaka soon ushaingia Tanzania tayar hapa ndani ya siku tatu. yaan mpaka ijumaa mzigo upo mikononi mwangu ila mchawi yupo hapo ware house (22days)sehemu nyingine kote unatembeadama, mkuu shida sio seller ni wao kikuu wenyewe.
Mkuu mzigo wangu walikadiria tarehe 21-24 february lakini naona ntaudaka soon ushaingia Tanzania tayar hapa ndani ya siku tatu. yaan mpaka ijumaa mzigo upo mikononi mwangu ila mchawi yupo hapo ware house (22days)sehemu nyingine kote unatembeaView attachment 1698203
naona na wangu uko flight departure ila unakaribu week sasa sijui ulipandishwa ungo au nini
na anza kuona dalili mkuu, God is working in mysterious wayVumilia utapata mzigo wako boss. Kikuu hawana janja janja
dama, mkuu shida sio seller ni wao kikuu wenyewe.
Mi wang ndo nshausahau kabisa tangu 28.1.2021 bado upo warehouse
Mkuu unacheki na wangu ulikaa warehouse mwezi na wiki kadhaa, kia mpole wataleta tu
Mkuu kuwa mpole tu, wataletaMi wang ndo nshausahau kabisa tangu 28.1.2021 bado upo warehouse