Wakuu msaada hawa kikuu vipi

#
Trust me hupigwi, mzigo utafika tu..huu ni mzigo wangu nishaupokea tayari ila chek hapo warehouse ulivyokaa mda mrefu..na hapo ndo panapocheleweshaView attachment 1685353

umenipa moyo bro ngoja niendelee kuvumilia tu wenda MUNGU akatia mkono wake ikaja.
 
mkuu vipi mzigo umeshaongeza hatua yoyote
Siku ya 15 hii bado ume stuck pale pale. Ila ukitoka hapa basi kazi imeisha tuendelee kuwa wavumilivu mkuu, nyama zipo chini
20210202_141413.jpg
 
Broo tulia kwanza nikutoe wasiwasi mzigo wako utaupata pili kumbuka vifaa vya mlipuko kwa kikuu huwa vinachelewa sana

Mwisho: Simu nunua Aliexpress hata kudai refund ni simple ila huko kikuu jiandae
Kikuu wana device za bei nafuu sana kuliko ali express na gearbest cha msingi aangalie shipping time tu labda ilikua zaidi ya mwezi
 
du mi mwezi na nusu now hakunadalili yanii
Ungechek shipping time yao, ila tangu december vitu vimeanza chelewa sana kufika.
Kuna wengine huwa wanangonga hadi three month sometimes..
Mimi huu mzigo nilinunua tarehe 16 jan ila waliandika hadi 21-24 Feb ndo nitegemee kuupata..kwahiyo bado nipo kwenye time line yao.
Jaribu pia kuchek review ya walionunua hapo delivery yao comments wanasemaje
 
review iko gud ndo maana nlishawishika hapa hofu ya kupigwa ndo imetawala. Make kuna jamaa nlimuagizia tar 9 mwez huu ila alipata jana mzigo yeye
 
Broo tulia kwanza nikutoe wasiwasi mzigo wako utaupata pili kumbuka vifaa vya mlipuko kwa kikuu huwa vinachelewa sana

Mwisho: Simu nunua Aliexpress hata kudai refund ni simple ila huko kikuu jiandae
Aliexpress naona masharti yao ya malipo ni magumu. Kikuu ukiwa na tiGOPESA tu, inatosha.
 
sema ujinga ndo kama huo mzigo una miezi uko china na ku cancel order hawataki yani dalili za upigaji hizi.
 
Mnaoagiza mizigo kipindi hiki cha Covid muwe wavumilivu kweli, kwa maana mizigo mingi huwa inachelewa kusafirishwa kutokana na maukaguzi mengi, mara kupulizwa dawa. Yaani kama walikwambia utafika baada ya wiki2 usishangae ukafika baada ya mwezi.
 
Mm nahisi kwa ajili ya covid 19 mm niliagiza wakumi namoja mwishoni nikapata wakumi na mbili mwanzoni. Ilikua ni less than two weeks
 
Mwezi mmjoa tu na kitu inahisi kupigwa sizani kama utaweza biashara za mtandao mkuu, jamaa yangu mzigo wake umefika leo baada ya miezo 2+ nilimwambia atulie kuna mambo mengi yanayosababisha mzigo kuchelewa
kwa hao hao kikuu au mtandao mwingine mkuu
 
Mnaoagiza mizigo kipindi hiki cha Covid muwe wavumilivu kweli, kwa maana mizigo mingi huwa inachelewa kusafirishwa kutokana na maukaguzi mengi, mara kupulizwa dawa. Yaani kama walikwambia utafika baada ya wiki2 usishangae ukafika baada ya mwezi.
du msala ni pale mkuu mwingine anaagiza baada yako anapatiwa we bado umesugua tu
 
Back
Top Bottom