MENEMENE TEKERI NA PERESI
JF-Expert Member
- Mar 11, 2022
- 9,372
- 25,657
Kwenye engineSauti inatoka kwenye engine au exhaust?
Kwenye engineSauti inatoka kwenye engine au exhaust?
tatizo la JF ndilo hilo......mtu anaomba msaada, unamjibu kejeli!Una buku hapo nikuelekeze ndugu
Kaka heshima yako .tatizo la JF ndilo hilo......mtu anaomba msaada, unamjibu kejeli!
PM is private message or inbox ambapo anayeona ni yule uliyemlenga
Bro huyo ni kanzu mpya, shekhe yule yule.Kwenye kifaa chako ukiwa kwenye app au web ya jf hio ndo PM, yenye kibahasha...
View attachment 3415509
Unauza sh ngapi?Kaka leo naomba nijibu japo uwa unanipotezea .
Aise majuma mawili haya corolla yangu inakoroma kama jenereta la mjerumani msaada kaka usafiri wangu unaniumiza
naku block! maana sina cha kusoma /kujifunza kutoka kwakoKaka heshima yako .
Nimekuelewa ,asubuhi njema .
Ukorofi uendeleze wewe nikushukie ksma mwewe
Astaghafulilah .Unauza sh ngapi?
Usifanye hivyo kaka mbona nimeomba msamaha lakini ?naku block! maana sina cha kusoma /kujifunza kutoka kwako
WoteKwahyo nikireplay kwenye comment ya mtu ni yeye tu ndo anayeona au
Kabisa 🤝Bro huyo ni kanzu mpya, shekhe yule yule.
Na fimbo juuPRIVATE MESSAGE..sasa useme hujaelewa hapo.
Woteee..Kwahyo nikireplay kwenye comment ya mtu ni yeye tu ndo anayeona au
PM ni kifupi cha Private Message, ambayo inakuwezesha kuwasiliana na mwanachama mmoja au zaidi ya mmoja.Nisaidieni maana ya neno PM sielewi kwa atakae nisaidia nitamshkuru