Wakuu, jambo hili limenitikisa

Wakuu, jambo hili limenitikisa

Kuna harufu ya mtu kuchapiwa kwenye huu uzi. Mleta mada ni me/ke ambae amechapiwa na jirani yake sasa ndio kaja kulia lia humu. Kasahau kabisa kwamba kuchapiwa ni siri ya ndani.
Sasa angekua muwazi asaidiwe, ushauri kwa me/ke unatofautiana. Aseme jinsia yake ni ipi.
Ila kuchapiwa ni kwa me bna, na assume ni me, mkuu umethibitisha hilo au ndio maneno ya kitaa tu, kama umethibitisha pasi na shaka huyo mke hakufai aisee. Kucheat na mtu wa karibu si kitu chema kwenye maisha yenu, vipi kama wana njama nnje ya hiyo kwasababu wote wanakujua nnje ndani ila wanakuchora tu.
 
Nmesoma karibu mara 3 Sijaelewa Kilichoandikwa kwny uzi wako.
1. Mwenzio anakucheat maksudi?
2. Mwenzio keshaungua, kakuambukiza maksudi?

Unataka nini zaid?
 
Saa nyingine ka waweza revenge do it moyo utapata amani ka ni mtu wa kusamehe na haumii fanya hvo ka waendelea kuumia revenge huwa inaponya pia.
Naye amkule mkewe?
 
Kumbe Lulu kinachokusumbua ni ujirani sio?, kwa hiyo kama ni kosa rukhsa kulitenda mbali na nyumbani? Hapana! kosa ni kosa tu.
Dharau ya kufanyiwa hadharani inauma sana zote ni dhambi ila hii ya karibu hivi inauma sana mkuu...s
 
Nmesoma karibu mara 3 Sijaelewa Kilichoandikwa kwny uzi wako.
1. Mwenzio anakucheat maksudi?
2. Mwenzio keshaungua, kakuambukiza maksudi?

Unataka nini zaid?
Amechepuka na Jirani yangu sijui kama ni makusudi au la hilo la ngoma bado sijapima....
 
Niko kwenye Ndoa na mwenzangu kachepuka mkuu,sijawahi kumsaliti tangu tuoane,na Jirani yangu...hope umenielewa now mkuu,
Hii uzi ili uielewe unatakiwa uwe mmbea sana hiv hiv huelewi hta moja
 
Haukusema tatizo. Source ya tatizo.

Yaani ulichosema ni kuwa umesemwa na watu wakajua. Shida ni nini kwani.

By the way huwezi pendwa au chukiwa na kila mtu, myself jirani yangu hapa kawekea sumu kuku wangu wamekufa wote, but I don't care, atajihukumu mwenyewe, siku ingine atakosea akijua anakuja kuua kuku wa Mamndenyi awape wanae, she will know that she doesn't know
 
Mkuu maisha yangu nikikuelezea utasema najisifia au kujikweza nimekuwa muumini wa karma na karma imeniletea majibu false kabisa mkuu nimeshindwa nikujibu nn..
Karma haipangiwi ina muda wake if you're lucky you'll watch it and if not it will be at it's time.
But keep it Karma never loses address
 
Pole kwa changamoto unayopitia, kuna maswali ya msingi na hoja zifuatazo unapaswa kuzitafakari:

a) Je, huu ni mwisho wa dunia? Kwamba hili limetokea basi ndiyo kila kitu na hadi maisha yasimame?
b) Unaumia, unatetemeka je, aliyefanya kosa afanyeje? Aliyekukosea ndiye anayepaswa kuumia si wewe
c) Angalia thamani yako, unakubali kweli kuishusha kwa watu waliodhibitisha kwamba hawana thamani?
d) Look at your positive side, una watu wangapi wema wanaokujali na kukupenda (Ndugu, marafiki, n.k)
e) Tafakari picha kubwa, inawezekana kuna ujumbe hapa unapewa jipe muda kutafakari, jipe muda sana
f) Jifunze kusamehe and move on USILIPIZE KISASI kwa wote, muachie Mungu atakupa haki yako na wao atawapa haki yao pia
g) Kuna mengi ya kujifunza hapa, wewe binafsi hili limekufunza nini? nina hakika likipita hili utakuwa mtu bora, imara kuliko jana

Tafuta kitabu kinaitwa Fungate ya Milele, ukisome chote na ukikimaliza uje tena hapa utupatie mrejesho
Sawa kabisa ndugu na kubwa ni kumshukuru Mungu kwa kuwa u hai bado samehe na jihoji ili ujifunze
 
Haukusema tatizo. Source ya tatizo.

Yaani ulichosema ni kuwa umesemwa na watu wakajua. Shida ni nini kwani.

By the way huwezi pendwa au chukiwa na kila mtu, myself jirani yangu hapa kawekea sumu kuku wangu wamekufa wote, but I don't care, atajihukumu mwenyewe, siku ingine atakosea akijua anakuja kuua kuku wa Mamndenyi awape wanae, she will know that she doesn't know
Source siijui kiukweli sijawahi kumfanyia ubaya huyo Jirani yangu, kuna dalili tu ndogondogo nilianza kuziona kwa mwenzangu MF.kupitia simu... Mwenzangu kazi yake kila Jpili humlazimu kulala kazin so kila jumapili Jirani yangu naye akawa halali nyumbani!hapo ndio nilipoanza upelelezi!..mtu niliyemtumia kunipelelezea akaniambia nisisumbuke ndio hivyo akaniambia nisitumie gharama kuchunguza ni kweli!na kila mtu anajua! Yaani aliniambia kanihurumia nisiingie gharama za kukodi toyo au gari kufuatilia maana ni kwl!!! nilipanick sana nikajaribu kuongea na watu wakanambia ni kwl!wakananiambia hata nikisafiri wanalala pamoja!na hiyo kitu ni mdaaaa mie nilikuwa sina habari randomly nshaongea na watu karibu 13 wote wanasema wanajua ila waliogopa kuniambia kuhofia nitalipokeaje!.. Jamani nimejeruhika mno Mungu tu anisaidie.
 
Jitathmini wewe ni mwenye nguvu au wewe ni legelege.
Jasiri lkn mapenzi hayana jasiri mkuu,hayana mjanja....mpaka yalimchukua jasiri muongoza njia ruge siyo mchezo!..na moyo tumeimbiwa wa nyama ukiguswa unauma!
 
Source siijui kiukweli sijawahi kumfanyia ubaya huyo Jirani yangu, kuna dalili tu ndogondogo nilianza kuziona kwa mwenzangu MF.kupitia simu... Mwenzangu kazi yake kila Jpili humlazimu kulala kazin so kila jumapili Jirani yangu naye akawa halali nyumbani!hapo ndio nilipoanza upelelezi!..mtu niliyemtumia kunipelelezea akaniambia nisisumbuke ndio hivyo akaniambia nisitumie gharama kuchunguza ni kweli!na kila mtu anajua! Yaani aliniambia kanihurumia nisiingie gharama za kukodi toyo au gari kufuatilia maana ni kwl!!! nilipanick sana nikajaribu kuongea na watu wakanambia ni kwl!wakananiambia hata nikisafiri wanalala pamoja!na hiyo kitu ni mdaaaa mie nilikuwa sina habari randomly nshaongea na watu karibu 13 wote wanasema wanajua ila waliogopa kuniambia kuhofia nitalipokeaje!.. Jamani nimejeruhika mno Mungu tu anisaidie.
Anyways vile watoto mnaogopa maisha, mie mtu hanifanyii ushenzi kuchukua mwanamke mtaa wa pili na wanaume walivyo keshamwambia muone mwenzio yuko hivi na hivi.

Siogopi to start from zero.

But utajua wewe ni mtu mkubwa.
 
Madhaifu kwenye ndoa hayakosekani Mimi sio Malaika hata kama ni kutoka nje....sio kwa ujirani huu hapo Panauma zaidi!!!!!pengine kwl niliufungua ila asingenifanyia na Jirani yangu hapahapa...
Pole sana baba msaliti wasaliti wanatuumiza sana tena kinacho uma ni mtu wa karibu kwako.mungu akutie nguvu pole sana
 
Source siijui kiukweli sijawahi kumfanyia ubaya huyo Jirani yangu, kuna dalili tu ndogondogo nilianza kuziona kwa mwenzangu MF.kupitia simu... Mwenzangu kazi yake kila Jpili humlazimu kulala kazin so kila jumapili Jirani yangu naye akawa halali nyumbani!hapo ndio nilipoanza upelelezi!..mtu niliyemtumia kunipelelezea akaniambia nisisumbuke ndio hivyo akaniambia nisitumie gharama kuchunguza ni kweli!na kila mtu anajua! Yaani aliniambia kanihurumia nisiingie gharama za kukodi toyo au gari kufuatilia maana ni kwl!!! nilipanick sana nikajaribu kuongea na watu wakanambia ni kwl!wakananiambia hata nikisafiri wanalala pamoja!na hiyo kitu ni mdaaaa mie nilikuwa sina habari randomly nshaongea na watu karibu 13 wote wanasema wanajua ila waliogopa kuniambia kuhofia nitalipokeaje!.. Jamani nimejeruhika mno Mungu tu anisaidie.
Pole sana mungu akutie nguvu .ila kaa chini tulia baadaya muda chukua hatua huyo hafai
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom