Abbasfarudume
JF-Expert Member
- Feb 14, 2017
- 1,625
- 1,324
Lkn hiyo link Utoi pesa yako mfukoni kucheza wala card ya benk wao wanataka Ujaze email address yako jina lako namba yako ya simu vigezo na masharti yao ya mchezo Ukizingatia wanakutumia email yao Uende westion union money ukachukue helaUnaibiiiwa....
Kumbe unajua basi fanya hivyo halafu uje utuletee mrejesho mkuuLkn hiyo link Utoi pesa yako mfukoni kucheza wala card ya benk wao wanataka Ujaze email address yako jina lako namba yako ya simu vigezo na masharti yao ya mchezo Ukizingatia wanakutumia email yao Uende westion union money ukachukue hela
Hapo ni kwenye kujiunga,itafika wakati wakutoa hizo hela feki utaambiwa ujaze hizo ac number either ni bank or credit card au paypall ambapo utatoa email yako ya paypall . Hiyo ni scam mkuu kweli upate $ 1000 kwa kuclick tu tena kwa siku kadhaa unadhani ingekuwa kweli watu wangekuwa wanatafuta ajira. Piga kazi.Lkn hiyo link Utoi pesa yako mfukoni kucheza wala card ya benk wao wanataka Ujaze email address yako jina lako namba yako ya simu vigezo na masharti yao ya mchezo Ukizingatia wanakutumia email yao Uende westion union money ukachukue hela
Hao wote waliokwambia wamekudanganya hiyo ni SCAM na hautokuja kupata hata shilingi, lengo la hizo website na nyinginezo ni kupata e-mails na pia kufanya site yao kuwa popular, unajua kwa nini wanahitaji info zako? kaa chini na uchunguze usipende tu kwa kuambiwa.Binafsi sijajishughulisha na hizo link ila kuna watu zaidi ya watatu nimeambiwa kuwa kweli unapata hela coz wameshafanikisha kulipwa. Mengine zaidi sifahamu kwakweli