Wakuu Hili ni jipu au chunusi?

Wakuu Hili ni jipu au chunusi?

mbere

JF-Expert Member
Joined
Mar 5, 2015
Posts
6,967
Reaction score
6,469
Rejea kichwa cha habari hapo juu, maana naliona Kwa muda mrefu sasa hili
Na ni rahisi kulitumbua kweli
 

Attachments

  • 1449397545480.jpg
    1449397545480.jpg
    13.8 KB · Views: 1,737
Rejea kichwa cha habari hapo juu, maana naliona Kwa muda mrefu sasa hili
Na ni rahisi kulitumbua kweli

Mbona Na Wewe Hutuonyeshi Lako Lililopo Katikati Ya Mstari Wa Ikweta Wa Makalio Yako Ambalo Linakufanya Kila Utembeapo Ukikata Tu Viuno?
 
Mh! Shkamooo broo, shkamoo sana samahani mweshimiwa Riz kumbe huku uko Kwa jina la Getamycine?
 
Mh! Samahani mweshimiwa Riz kumbe huku uko Kwa jina la Getamycine?

Mmebaki Kunifananisha Na Baba Zenu Tu Sasa Kwani Mlianza Kunifafanisha Na Nape Nnauye, Mkaja Kwa Edo Kumwembe, Kisha Masoud Kiapanya Na Hatimaye Leo Tena Mnanifananisha Na Mtoto Wa Rais Mstaafu Kikwete Ridhiwani. Inaonyesha Wana JF Mna Hamu Na Shauku Kubwa Sana Ya Kumjua Huyu Mwenye Super Brand ID Hii Ya GENTAMYCINE Humu JF Ni Nani. Bahati Mbaya Sana Mtasubiri Kama Ambavyo WAKRISTO Wenzangu Tunasubiri Bila Mafanikio Ujio Wa Mkombozi Wetu Yesu Kristo Wa Nazareth! Poleni Mno Akina Nnauye, Kumwembe, Kipanya Na Ridhiwani Kwa Kufafanishwa Kwenu Nanyi ILA Mimi Humu Najitegemea Kama Mimi. Ingekuwa Kama Mtu Ukifafanishwa Hivi Na Watu Tena Maarufu Na Wakubwa Kama Hao Unapewa Na Pesa Basi Hakika Dangote au Bill Gates Wangeisoma Namba Kwangu Ila Bahati Mbaya Sana Nafananishwa Mikono Mitupu Tu Na MAPOPOMA Kama mbere.
 
Last edited by a moderator:
Mkisoma Kwa makini alichoandi hapo juu mtagundua ana sifa za kiji....
 
Litumbuliwe tu damu na usaha utoke😅
 
najua una maanisha majipu yatayotumbuliwa sooon hahaha, i like thia kind og hypocratic literature
 
Ha ha ha kwakweli jf ni kiwanda cha vichekesho.. hili jipu tena kubwa sana
 
Rejea kichwa cha habari hapo juu, maana naliona Kwa muda mrefu sasa hili
Na ni rahisi kulitumbua kweli

Mkuu hilo ni jipu ajiandae tunakuja kulitumbua soon hata kama linauma hamna namna nyingine
 
hilo jipu hakuna haja ya kulitumbua,lifukiwe udongoni kama lilivyo
 
Back
Top Bottom