King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 62,555
- 94,253
Ungebeba Shangazi Kaja moja ukatoboa kimaisha wewe acha UJINGA.Nafanya kazi na wachina
Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina.
Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full