Nevergive up
JF-Expert Member
- Dec 24, 2024
- 563
- 867
Chache Sana hizo hazifiki 300MNafanya kazi na wachina
Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale kwa mchina.
Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full
mkuu ni zaidi maana kwa kuhesabu kila bunda moja ni 10M nimehesabuChache Sana hizo hazifiki 300M
Zile hazichezi M tena ni B maana kila bunda ni M10 na ziko shangazi kaja 3 kubwaChache Sana hizo hazifiki 300M
Nilijua tu utawaza upuuziLinda donat unalalaje kwa wanaume wenzako na unatabia za kike?
Wewe unatabia za kike nazan kaz yako itakua kubolewa spika na wachichaNilijua tu utawaza upuuzi
OkyWewe unatabia za kike nazan kaz yako itakua kubolewa spika na wachicha
Shangazi kaja nao msamiati maana yake ni niniZile hazichezi M tena ni B maana kila bunda ni M10 na ziko shangazi kaja 3 kubwa
Begi ukeleweShangazi kaja nao msamiati maana yake ni nini
Ndivyo walivyo. Wanapenda sana kutembea na cash ndefuNafanya kazi na wachina
Sasa jana nikawa najihisi vibaya nikasema ngoja nikalale nijipumzishe hadi mda wa kutoka job kwenye chumba cha mchina.
Aisee nimekuta shangazi kaja 3 zimejaa pesa full