Wakuu hapa kuna mimba?

Kama ni
mwanafunzi bas gerezan Kuna kuhusu ,na kama ni chin ya miaka 18 miaka 30 inakuusu ,na kama hayupo pote pote upo save,lakn Kwa hizo tarehe nkuhakikishie hakuna mimba hapo mkuu ,kama ni kwel Binti yupo sawa
 
Ufafanuzi zaidi kuhusu tarehe
 
Mlivyokutana ikawaje? Or you mean mkazini?
 
MImba hiyo baba kijachoo. Hongereni andaa lipa namba wakina Ushimen ,wazee wako wa rika lakooo wakutumie muamala wa pampas.
Kwa maana 22 mpaka 30 no danger 31 mpaka 1,2 danger huogipi magonjwa ya azinaa tofautin mimbaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…