Wakuu benk ipi itanifaa kwa inshu za manunuzi online

Bonesmen

JF-Expert Member
Jan 18, 2016
929
991
Wakuu hii bank ya kimea imekuwa ngumu mpaka sasa kunipa access ya Online transaction sasa je nisogee bank ipi ambayo ita link card yangu easly na online transaction, Equity gharama na taratibu za kujiunga zipoje?
 
Achana na CRDB waone BankABC wana debit kadi yao ambayo huhitaji kuwa na account kwao unapewa kadi na kuweka hela kama kwenye tigo pesa kwa ajili ya kulipia online.
 
Bei gani hio kadi
 
BancABC cash card ni tsh 15,000

Wakativkwa

Equit Bank ni tsh 10,000

Ili kupata card hapo kwa hapo inatakiwa uwe na kitambulisho cha mpiga kura au Leseni au passport.

Benk zote mbili tajwa inakuchukua muda wa dk 15 tu. Unaondoka ukiwa na kadi yako tayari kwa kufanya manunuzi Online.

Kwa ushauri nenda equit bank.
 
Wana branch hapa arusha mjini?
 
Yaani mimi ningekuwa Rais nongemteuwa Mkurugenzi wa benki ya CRDB Charles Kimei kuwa Gavana wa Benki kuu. Huyu mtu ameitoa benki hiyo chini kabisa na sasa hivi ni moja ya mabenki yanayostawi ktk ukanda huu wa afrika mashariki. Ameiwezesha kutanua huduma zake hadi nchi jirani.
 
Kimei alikua BOT kitengo cha uchumi na research baadae akatimkia CRDB.
 
For security na convenience ichukue CRDB.
Niliangaika sana na kuichukia crdb bila kujua kuwa kumbe authenticity wanayoifanya wakati wa registration ndio security ya pesa.
Kuna mtu wangu aligoma akachagua benki flani ivi. Mpaka leo aliliwa online mil2

Naona crdb wako vizuri
 
Yaani mimi ningekuwa Rais nongemteuwa Mkurugenzi wa benki ya CRDB Charles Kimei kuwa Gavana wa Benki kuu. Huyu mtu ameitoa benki hiyo chini kabisa na sasa hivi ni moja ya mabenki yanayostawi ktk ukanda huu wa afrika mashariki. Ameiwezesha kutanua huduma zake hadi nchi jirani.

Sawa, subiri utakapokuwa Rahisi!
 
Kimei alikua BOT kitengo cha uchumi na research baadae akatimkia CRDB.

Aisee kutoka BOT kwenda bank ndogo inataka moyo. Ila to call a spade a spade kimei ni jembe. Kama taasisi nyingine zingekua kwa spidi ya crdb nadhan tz ingeshine Africa. Tatizo hawa watu wanasiri sana ktk kufanikiwa, wakishare na wengine na taasisi zetu tungeneemeka.
 
Back
Top Bottom