Wakurya ni mwendo wa mimba tu

Cha kushangaza mnavokimbilia uchagani sasa! Ni ili ku punguza makali ya rangi au?

Nani kakudanganya wakurya hatuna rangi!!tuna warembo bwana,pia hatufuati rangi wachaga nowdays wanajua na wanapenda wanaume ngangari,ngoja nikunong'oneze usimwambie mtu ok,wanatulove wenyewe.
 
Na siku ya kwanza tu baada ya kuoa akiandaa chakula kitie kidole alafu muulize hiki ni chakula gani?...........kisha mzabe kibao ili ajue kuwa sie ni akia MURAAAAA.........
 
Mimba tu Halafu ndio Mambo ya negotiations yanafuata muraa
 
Nani kakudanganya wakurya hatuna rangi!!tuna warembo bwana,pia hatufuati rangi wachaga nowdays wanajua na wanapenda wanaume ngangari,ngoja nikunong'oneze usimwambie mtu ok,wanatulove wenyewe.

Mnayo rangi sijakataa! Ila ni nyeusi! Na sijasema urembo ni weupe au weusi!
Nawaona mnavojiongeza marangu kila siku!
Kwani huko ukuriani hampendwi?
 
Mnayo rangi sijakataa! Ila ni nyeusi! Na sijasema urembo ni weupe au weusi!
Nawaona mnavojiongeza marangu kila siku!
Kwani huko ukuriani hampendwi?

Mura acha kutufuata fuata fanya yanayokuhusu unaona wivu sisi kuoa uchagani.
 
Kuna dalili ya ugomvi hapa ngoja nishuhudie
 
Tarime one kuna dada yenu mmoja anaitwa Nyamughe..nikimpata huyo mwenyewe nakusindikiza Marangu....
 
Last edited by a moderator:
Haroo mbona ipo siku zote kama kuna huto moja karamba wanawake watatu mimba afu wote wakajifungua siku moja... Wanawake wanapenda sana wakuria sababu ya msimamo na mapenz.. Mkuria akipebda ni kama zezeta ilimradi usimkwaze atakupa kila kitu yupo tayari mali zote aandike jina lako ila the moment umrmuudhi sana mama rhobi utatamani usingezaliwa
 
Tarime one kuna dada yenu mmoja anaitwa Nyamughe..nikimpata huyo mwenyewe nakusindikiza Marangu....

Mentor,muraa walishanizingua nikatia mimba adabu ikawepo so niko poa labda nikusaidie namna ya kumpata Nyamughe.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…