ila wakurya punguzeni hasira jamani
Wakurya tumekuwa tunyanyasika sana tunapoenda kutambulisha na wachumba zetu wa makabila tofauti hadi kufikia kukataliwa kuoa kwa sababu ya kabila letu, imenitokea mimi na ndugu zangu wengi kwa unyanyasaji huu natoa wito kwa wakurya wote kupiga mimba kwanza kabla ya kwenda kutambulishwa,
Hatujawatuma watoto wenu watupende.
Tunakuwa na hasira bila kuchokozwa.

We unafikiri koo za wakurya hatuna pesa!aka sogea pale mwanza usikie habari ya wakurya au fika tarime uone mambo.Unazaliwa kwenye ukoo wa vita na hasira
Bora uzaliwe kwenye koo za pesa
We unafikiri koo za wakurya hatuna pesa!aka sogea pale mwanza usikie habari ya wakurya au fika tarime uone mambo.
Ukiona kabeba mimba ujue ametaka na amekupenda kama hataki kubeba mimba utaishia kupigika wewe.
Wakurya tumekuwa tunyanyasika sana tunapoenda kutambulisha na wachumba zetu wa makabila tofauti hadi kufikia kukataliwa kuoa kwa sababu ya kabila letu, imenitokea mimi na ndugu zangu wengi kwa unyanyasaji huu natoa wito kwa wakurya wote kupiga mimba kwanza kabla ya kwenda kutambulishwa,
Hatujawatuma watoto wenu watupende.
Tunakuwa na hasira bila kuchokozwa.
True mura wakibosho walinikatalia kwanza,nikaweka mimba wife yuko home na wamenikubali kweli,
Na kuna jamaa yangu juzi tumempeleka marangu wamemtolea nje.