DOKEZO Wakurugenzi na Wakuu wa Idara (sana sana DMO's na DEO's) wamekuwa kikwazo kwenye zoezi zima la uhamisho wa watumishi kwa mfumo mpya ESS

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Mkuu Mimi sio Afisa utumishi wala sio DED ila ntakujibu kwa kiherehere Changu...
1.Watumishi wote walitakiwa kuhakiki Taarifa zao ofisi ya utumishi na Aslimia 80% walihakikiwa na NIDa ziliwekwa ila ukiona kuna shida kwenye kujiunga mwone Afisa utumishi wako atakuelekeza

2.Kuingia Ukiona password inagoma check na utumishi wao ndo wana amri ya kukupa access na kukunyang'anya

3.Uhamisho module unafata Sheria mpya na kanuni mpya za uhamisho( Si unajua ni compyuta generated ) hivyo inapokea maombi ya watu waliokaa Kwwnye mkoa au halmashauri husika kwa muda usiopungua Miaka 5
Na sio mitatu kwa kanuni za zamani..

4.uendeshaji wa successor naungana na wewe kabisa pamoja na mtoa Mada kwamba bado mfumo huu una tatzo kwenye wanaotakiwa kuapprove request bado wengi hawana elimu ama wanataka wpewe elimu kwa njia ya kijanja na ndo maana wameweka mgomo japo inawezekana wanajua na wanajua jinsi ya kutumia ila tu wanaweka mgomo ili waende semina
Na hapo mtumishi akihama bado kuhamishiwa mshahara napo ni usumbufu mwingine. Mtu anahama mwezi wa 4 mpaka mwezi huu october bado mshahara haujahamishwa. Kichekesho utumishi anakujibu kuwa mfumo umebadilika na hakwenda kwenye semina hivyo hajui kuhamisha. Sasa najiuliza kwenye hizo ofisi wanafanya nini..? Si waondolewe watu wanaotafuta ajira ni wengi sana kwa sasa zaidi ya hao wanaofanya mambo hovyo hovyo
 
Sure
 
Huu mtindo ni uhuni kuna watu wamahamishwa tena kwa kuanza mwaka ya fedha ila mshahara wao haujahama ,yaani mtu amehamishwa mwezi wa 7 na kuripot mwezi wa 8 ila bado wanasema mpaka check number ifanyiwe vetting na kupelekwa taasisi mpya ....

Mpaka mwaka unageuka yaani mwezi wa kwanza bado na ukipiga hesabu mwezi wa saba mpaka wa kwanza ni miezi kama 5 ila wanasumbuka ni hovyo kabisa.

Wengine stahiki zao bado eti wanakaa vikao vya nn tena!? Sheria zipo wazi mtu apewe chake.
 
Sana mkuu kupitia andiko hili naanza kuelewa kwann hawahamishi mishahara kwa wakati. Ili wapate kaujanja kaa kwenda semina za posho mara kwa mara
 
Sana mkuu kupitia andiko hili naanza kuelewa kwann hawahamishi mishahara kwa wakati. Ili wapate kaujanja kaa kwenda semina za posho mara kwa mara
Mwaka 2019 tuliomba stahiki zetu ,HR anasema mpaka wakae vikao na mda huo sisi tusharipot vituoni huoni kama kuna ujinga sana hapo!?
 
Mwaka 2019 tuliomba stahiki zetu ,HR anasema mpaka wakae vikao na mda huo sisi tusharipot vituoni huoni kama kuna ujinga sana hapo!?
Sana mkuu ajira za afya na elimu mwaka huu toka 07/2023 mpaka now 10/2023 bado wapo ambao hawajawekewa hela za kujikimu
 
WAKURUGENZI NA WAKUU WA IDARA (SANA SANA DMO's na DEO's) WAMEKUWA KIKWAZO KWENYE ZOEZI ZIMA LA UHAMISHO WA WATUMISHI KWA KISINGIZIO CHA KUTOKUWA ORIENTED NA MFUMO MPYA WA HUDUMA YA UHAMISHO WA WATUMISHI ESS

Habari za Asubuhi wanajamvi,

Nimeleta habari hii baada ya kujiridhisha na kufanya Tafiti mbalimbali kugundua kama walichoniambia wadau hao ni kweli au lah na baada ya kugundua ukweli nimekuja na mada hii.

Itakumbukwa kwamba Rasmi Serikali kupitia wizara ya OR-Utumishi ilisitisha Katibu mkuu Tamisemi na KATIBU MKUU Utumishi kupokea maombi ya uhamisho Wa barua na kuanzisha mfumo wa uhamisho serkalini wenye Taarifa za mtumishi kupitia ess.utumishi.go.tz.

Kwa kuona kwamba uhamisho kwa njia ya zamani ilikuwa inapoteza Mudabwa mtumisho ,Haukusa rafiki kwa mtumishi na Kuongeza njia za ushawishi wa rushwa kwa Pande hizo mbili.

hivyo kwa maelekezo ya Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais–Utumishi aliyoyatoa kupitia barua yenye Kumb Na. FA.228/613/01/1 ya tarehe 11 Agosti, 2023. Kuhusu Mfumo huo.

TATIZO LILIPOANZA...

Baada ya barua hiyo Wakuu wa Idara na MaDED walikataa barua zote zilizokuja Kwao kuanzia Tarehe 01/09/2023 kwa kisingizio cha wamepewa maelekezo kuwa mtumishi aombe uhamisho kupitia Mfumo wa kiutumishi wa uhamisho.

Baadhi ya watumishi kwa kuwa wanajua Technolojia waliomba na matokeo yake waliporudi kwa maafiaa utumishi na waajiri na WAKUU wa idara zao ili waaprove kulitoa ombi kwa supervisor waliwajibu kwamba hawajui chochote kuhusu mfumo hivyo hawatafanya lolote.

Sasa Kama wamekataa paperwork na mfumo bado hawaufahamu.

Je, hii ni Njia mpya ya serikali kuzuia uhamisho kwa Watumishi?

Na kama sio serikali Imechukua jukumu Gani kuhakikisha mfumi unafanya kazi tena kwa Ufanisi na kwa muda?

Sehemu mpaka Sasa zinazolalamikiwa ambzo nimefanya Reseach huko Halmashauri ya wilaya ya Kongwa, Halmashauri ya wilaya ya kwimba, Halmashauri ya Manispaa ya Shinyanga, Halmashauri ya manispaa ya Ubungo, Halmashauri ya Wilaya ya Kibaha.

Halmashauri ya wilaya ya Muheza, Halmashauri ya wilaya ya Handeni, Halmashauri ya wilaya ya Pangani, Halmashauri ya manispaa ya singida, Halmashauri ya Manispaa ya Tabora.

Halmashauri ya wilaya ya Buhigwe ,Halmashauri ya Wilaya ya Tanganyika.

hizi ni baadhi tu na ndo zenye malalamiko mengi ila yapo halmashauri za majiji na manispaa ambazo zima malalamiko machache.

SERIKALI KAMA MMEAMUA KUZUIA UHAMISHO KWA WATUMISHI MSILETE VISINGIZIO MAANA MAJIBU MENGI YA WAKURUGENZI NI KUWA TUNAFATA MAELEKEZO.

Sasa mtumishi afanye lipi mmemzuia Kufanya uhamisho wa barua na bado baadhi ya Waajiri wanazuia uhamisho wa Mtandao.
Ningestuka kama nisingeona Halmashauri za kigoma
 
Back
Top Bottom