Naomba kazi ya lojistiki na usafirishaji au kazi yoyote halali ya kutumia nguvu.

Africalogic

Member
Oct 13, 2018
6
5
Habari wadau!
Mimi ni kijana, nina umri wa miaka 26 ni mhitimu wa shahada kwenye kada ya logistics na usafirishaji mwaka 2019 kutoka chuo cha Taifa cha Usafirishaji.

Nimejaribu kutafuta kazi sehemu mbalimbali imekuwa kipengele kwangu kutokana na connection. Naomba mwenye nafasi sehemu yoyote ama kuna mahali kuna kazi aniunganishe. Kazi yoyote nafanya maana sina matatizo yoyote ya kiafya na sichagui kazi.

Naomba msaada wenu kwa yoyote mwenye nafasi ama connection maana maisha magumu kwangu nipate hata pesa ya kujikimu hapa mjini kwa nimepewa hifadhi na rafiki yangu.

Kwa sasa nipo Dar es salaam maeneo ya Temeke

Wasifu wangu:
Skills
1.Computer literate; Microsoft word,excel, power point, publisher, SAP na Internet.

Knowledge
1.Fleet management
2.Tires management
3.Inventory control
4.Customer service
5.Fuel management

Kwa taarifa zaidi na CV naomba mtu anifuate PM
 
Habari wadau!
Mimi ni kijana, nina umri wa miaka 26 ni mhitimu wa shahada kwenye kada ya lojistiki na usafirishaji mwaka 2019 kutoka chuo cha Taifa cha Usafirishaji.
Nimejaribu kutafuta kazi sehemu mbalimbali imekuwa kipengele kwangu kutokana na connection. Naomba mwenye nafasi sehemu yoyote ama kuna mahali kuna kazi aniunganishe. Kazi yoyote nafanya maana sina matatizo yoyote ya kiafya na siachagui kazi. Naomba msaada wenu kwa yoyote mwenye nafasi ama connection maana maisha magumu kwangu nipate hata pesa ya kujikimu hapa mjini kwa nimepewa hifadhi na rafiki yangu.
Kwa sasa nipo Dar es salaam maeneo ya Temeke

Wasifu wangu:
Skills
1.Computer literate; Microsoft word,excel, power point, publisher, SAP

Knowledge
1.Fleet management
2.Tires management
3.Inventory control
4.Customer service
5.Fuel management

Kwa taarifa zaidi na CV naomba mtu anifuate DM
" 26 ni mhitimu wa shahada kwenye kada ya lojistiki na usafirishaji mwaka 2019 kutoka chuo cha Taifa cha Usafirishaji"....!

lojistiki=Logistics

Sent from my SM-A125F using JamiiForums mobile app

Nadhani hizi information ume copy and paste kutoka search engines
 
Habari wadau!
Mimi ni kijana, nina umri wa miaka 26 ni mhitimu wa shahada kwenye kada ya logistics na usafirishaji mwaka 2019 kutoka chuo cha Taifa cha Usafirishaji.

Nimejaribu kutafuta kazi sehemu mbalimbali imekuwa kipengele kwangu kutokana na connection. Naomba mwenye nafasi sehemu yoyote ama kuna mahali kuna kazi aniunganishe. Kazi yoyote nafanya maana sina matatizo yoyote ya kiafya na sichagui kazi.

Naomba msaada wenu kwa yoyote mwenye nafasi ama connection maana maisha magumu kwangu nipate hata pesa ya kujikimu hapa mjini kwa nimepewa hifadhi na rafiki yangu.

Kwa sasa nipo Dar es salaam maeneo ya Temeke

Wasifu wangu:
Skills
1.Computer literate; Microsoft word,excel, power point, publisher, SAP na Internet.

Knowledge
1.Fleet management
2.Tires management
3.Inventory control
4.Customer service
5.Fuel management

Kwa taarifa zaidi na CV naomba mtu anifuate PM
Njoo Abraar Education Centre kibaha, tunahitaji mafundi ujenzi.

Kwetu hapa unaanza kwa kupata mwelekeo (orientation) wa wiki mbili kwa kua vifaa vyetu vya ujenzi ni aina ya kipekee sio kama vilivyozoeleka. Kam ni fundi ujenzi mzoefu utapata ujuzi mpya baada ya muda mchache sana(kutegemea na juhudi yako) unakua fundi kamili wa vifaa aina mpya vya ujenzi.

Pia tunachukua wanafunzi watakaopenda kujifundisha ujenzi kwa vitendo, wanaanzia kwa kujifunza kuunda vifaa vya ujenzi kwa siku mbili mpaka tatu kwa kila kifaa.

Ni mpango wa kipekee Tanzania hii, vijana changamkieni fursa.

Kwa maelezo zaidi wasiliana nasi kwa whatsapp 0625249605.

Abdul Ghafur

Pia kuna mengine mengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom