Wakuringa aringe ng'ombe

Kifai

JF-Expert Member
Joined
Jan 18, 2013
Posts
816
Reaction score
173
wakuringa aringe ngo'mbe, akinya mbolea, akichinjwa ngozi inawambwa ngoma, alisikika konda akimpa mabango dada mmoja mrembo baada ya kukanyagwa bahati mbaya na kuanza kuja juu,
 
Ha ha haaa... Safi sana. Majibu ya shombo yana raha yake ati!
 
Kweti muhogo ndio dili majani mboga ,matawi kuni ,mizizi chakula
 
 
Last edited by a moderator:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…